Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
kikosi kazi #fanyawewefreestlyechallenge
hakuna kitu kibaya, kama kuwa kama mimi.../
scars amekosa haya, na hachutami tena chini.../
kwenye hip hop anapwaya, haeleweki ana rap nini../
unanishauri nikaimbe kwaya, fanya wewe mi sina dini../
fanya wewe kama unaona mi napotoka, vuta na ganja si unadhani ndio kumoka.../
msikilize zuchu zima za kufoka, fanya ku switch sikiliza hata vikota.../
nafanya yangu ya wengine naogopa, sifanyi kama wao ndo maana hunikuti kimboka../
kubana bana pua kwangu ni kosa, hip hop nimeishika nikifanya kama wewe itadondoka.../