Michano/Hiphop/Freestyle

Michano/Hiphop/Freestyle

kikosi kazi #fanyawewefreestlyechallenge

hakuna kitu kibaya, kama kuwa kama mimi.../
scars amekosa haya, na hachutami tena chini.../

kwenye hip hop anapwaya, haeleweki ana rap nini../
unanishauri nikaimbe kwaya, fanya wewe mi sina dini../

fanya wewe kama unaona mi napotoka, vuta na ganja si unadhani ndio kumoka.../
msikilize zuchu zima za kufoka, fanya ku switch sikiliza hata vikota.../

nafanya yangu ya wengine naogopa, sifanyi kama wao ndo maana hunikuti kimboka../
kubana bana pua kwangu ni kosa, hip hop nimeishika nikifanya kama wewe itadondoka.../
 
Head to toe SCARS bro you kill it
And for those niggas no one spit shit
The punches in verses are very lit
Pit to opposer side they need med kit
 
Ile ghafla bin vuuuu,,naikuta hii Uzi,,
nasogelea upande huu,,kuwafunza maujuzi
matozi na sistaduu,,watoto wa juzijuzi,
When nacome through,,yafaa mfanye kusizi,
nyie kwangu vitukuu,,zisomeni tenzi hizi,,
bora mcheze na vitunguu,na sio hili jinamizi,
mtachoona ni ukungu,,mkitokwa na machozi,
Mkiweza nifuateni juu,,kwa taaluma za kikwezi,
moto mkali so wa vifuu,,zimamoto hawauwezi,,
na hii ndio ngome kuu,,msije kindezindezi,,
 
Mleta Mada*2
Ivi ushalipa jf Ada
Inakuwaje mc unalala
Ijapokuwa bado kiama
Imara simama kijana

Mleta Mada *2
Ivi umevuta ngada
Ila sio Biff nachangia Mada
Ivi nikuuliza labda
Ivi Leo umefanya ibada
 
Mbona mapozi mengi kama mdada,,,
kaa kijanja mana tuko nje ya muda,,
ushaanza pigo kuleta za kikuda,,
tuliza wenge usifanyiwe unyambuda,,
mana haujatulia kama kufuri la kimada,,
 
Mbona mapozi mengi kama mdada,,,
kaa kijanja mana tuko nje ya muda,,
ushaanza pigo kuleta za kikuda,,
tuliza wenge usifanyiwe unyambuda,,
mana haujatulia kama kufuri la kimada,,
Bora nyambuda kuliko ibirisi/bro mm najaribu usijesema nakudisi/ntawatafuna maini niwabakishe filigisi /mm mzimu wa cado nondo
Ww si ndie Nikki mbishi/?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Bora nyambuda kuliko ibirisi/bro mm najaribu usijesema nakudisi/ntawatafuna maini niwabakishe filigisi /mm mzimu wa cado nondo
Ww si ndie Nikki mbishi/?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
level ya beginner huna kidari cha kunidiss,,
mtoto masaptasapta au Jay delicious,,
bora ukabatoo na mbishi sio mimi nyambilisi,,
I'm doin it smarter ain't furious,,
Stay away hizi pande hawakai kina tekashi,
side hii utamezeshwa matapishi,,
hata mkija na machoko wenzako hapa hamtoshi,,,
nshawachorea mstari never try to cross,,shabashhhhh[emoji23][emoji23]
 
watoto tulizeni wenge, master nisha timba.../
nina mapene nipeni mlimbwende, nimpachike mimba.../

niko mwingi kama pilau la shughuli, verse nazitumbua kwa dharau ka magufuli.../
na nyie manyan'gau kazeni misuli, kufika nilipo ni uwezo tambua na sio misifa ka' ya dully.../

nenda kwa gigy atakupa papa, huku tupo wahuni ukizingua tutakupa ubapa.../
najua wengi mnajuta mi kua hapa, mnapata sana hasira mnionapo kwenye radar.../
 
Nimerudi winji winji, Mkulungwa moja namba/
Kisa shilingi, hawajapungwa wanataka uganga/
Ingia kingi, milango haijafungwa mistari panga/
Ila kipusa Misanya Bingi, chunga Mvumbo ni Kisanga/
Haina kudata, endelea kufata nyendo/
Ngebe nakata, huku na show mapendo/
Watoto wanafyata, kama kasusu kwa warembo/
Siku hizi hatuli bata, hatuhusu tunachinja tu tembo/
 
Kidume nimefuzu, natembea hadi kwenye ulimbo/
Niite Ustaadh Mzuzu, ukikosea unachezea fimbo/
Uso wa mbuzi kauzu, ukinichekea unakuwa windo/
Ukileta uzuzu, utapotea maana nipo lindo/
Kila nikiwafesi, hawana tofauti na Zuchu/
Mistari yao mepesi, kidume napigia puchu/
 
Unauliza ni yupi, anaefanya dem wako anashindwa hema/
Nina mkuki kwenye chupi, zaidi ya ugoko wa Wema/
Heshima yangu sikupi, mna utoto na unyangema/
Mvumbo jina fupi, ila moto natema/
 
Unauliza ni yupi, anaefanya dem wako anashindwa hema/
Nina mkuki kwenye chupi, zaidi ya ugoko wa Wema/
Heshima yangu sikupi, mna utoto na unyangema/
Mvumbo jina fupi, ila moto natema/
Usilete swaga zako za kitoto,mbele ya makuhani/
Demu wako unamhonga 'mnyoto',sie tunamla kilaini/
Tunamnyonya mpk uroto,we komaa na sabuni/

Unajisifu unamkuki kwa chupi,wakati we ni shabiki wa kiba 100%/
Kwani demu wako Ni yupi?, Au yule wanaemparamia/
Umechokoza mzinga wa nyuki, hapa utapakimbia/ REPECT...
 
Bow down niggaz, u met Rwanda magele,,
na kilichowaponza ni hiko kiherehere,,
shughuli sio yenu mnajikalisha mbele,,
watoto wa kiume ila full machepele,,
yan wee weuweee waze wa vikelele,,,
maskin ya mungu watoto mchelemchele,,,
kaeni kikao nani wa kunifunga kengele,,
ama sivo kabidhini uzi niutawale,,
vijidagaa hamsurvive chemba la kambale,,
mkakate viuno na mwenzenu boy wa tandale,,
 
Usilete swaga zako za kitoto,mbele ya makuhani/
Demu wako unamhonga 'mnyoto',sie tunamla kilaini/
Tunamnyonya mpk uroto,we komaa na sabuni/

Unajisifu unamkuki kwa chupi,wakati we ni shabiki wa kiba 100%/
Kwani demu wako Ni yupi?, Au yule wanaemparamia/
Umechokoza mzinga wa nyuki, hapa utapakimbia/ REPECT...
Nitakachokufanya hutaamini, utajiona umetoa boko/
Maana kwenye soko la madini, dogo unaleta kokoto/
Hufiki dakika tisini, huuwezi huu moto/
Si tunaandika mapini, wewe unaleta utoto/
Nakudeku kama arosto/ nakuja peku kama Mpoto/ "gepu" ni maji na moto/
Mwanakwetu nakupa mkong'oto/ mpaka useme YECHU Mvumbo ni BABA WATOTO/
 
Kila verse ni fupa la fuvu, hawawezi hawa fisi/
Mi ni maji kama Mto ruvu, siungui kwa kipisi/
Watoto wanaunganisha nguvu, kuja kuni diss/
Hawajui Hip Hop imenitunuku, hivi vina sio rahisi/
Leo mzigo umekata, acha nichome kushabu/
Kisha nihubiri kama Pastor, wanisome kama kitabu/
Game wameivamia, na wanajiona vibonde/
Nina mistari kama pundamilia, nini Mmakonde/
 
Pesa kidogo tuu, eti mmeanza na kuchana,
Pesa kidogo tuu, mnajikuta verse zenu zinafana,
Pesa kidogo tuu, mnajitapa na hamjala mchana,
Pesa kidogo tuu, mnashinda JF kama hamna cha kufanya,

Pesa kidogo tuu, mmeanza kutoa ofa za bia,
Pesa kidogo tuu, na unga sikuhizi mnabwia,
Pesa kidogo tuu, mademu kibao mnawapitia,
Pesa kidogo tuu, wakubwa zenu hamtaki kuwaskia,
Pesa kidogo tuu, hamjielewi tena na mmepotea njia.
 
underground mwenye speed ya supe star/nyota yangu ina ng'ara zaidi ya taa

nikipandisha mizuka na flow kama kichaa/mi ndiye yule pastor alo panga bar

anhaaa leo ng'ombe jike kapandisha mashetani/hu uzi hakuna battle so sioni ushindani
 
Waki hitaji battle wanakutana na mkong'oto/nahitaji ushindani mbona mnakuja watoto

yeeeah nawanyosha kama ruler watoto wa juzi/wamedondoka kwenye kura wameishiwa pumzi
 
Rhymes zangu Al Shababi, napiga kwenye shingo/
Watoto beki hazikabi, wamekimbia ulingo/
Manyota 'inchaji', mi' suka mi' utingo/
Wako wapi wafa maji, niwamalizie na tindo/
Hawataweza kupima, mi nacheza na vina/
Natembeza mboko/
Nawapoteza mazima, wanageza kama China/
Na wanatoa boko/
Mvumbo ni zawadi, kwenye hiki kizazi/
Cha watoto wenye midadi, halafu wali nazi/
Wanakuja wanajinadi, tena shazi/
Ila ninapotema radi, wananiita mkuu wa kazi/
Game dakika tisini, ila life jihadi uelewe/
Maana hata mke wa masikini, kuwadi mumewe/
View attachment 1619670
 
Back
Top Bottom