Michano/Hiphop/Freestyle

Michano/Hiphop/Freestyle

Upendo umefika mwisho, wapendanao wanajinyonga/

Wengine ni vitisho, kama mikwara ya Mandonga/

Hakuna upatanisho, kila mmoja anachonga/

Kifo ndio hitimisho, hata kama alikukonga/

Unaempenda hakupendi kama uteja wa unga/

Usiye mpenda haendi kama kamba umemfunga/

Dharau haijengi siyo tofari la nyumba/

Mapenzi yana mengi bwana mdogo chunga/

Mnunulie simu wenzako wampe vocha/

Jifanye mwalimu ajifanye kocha/

Mpe za kujikimu akakufanye ndondocha/

Yanakata stimu mapenzi ulofa/

Hiyo bastola unayonunua, haitaua kabisa vibaka/

Bali mwenyewe utajiua, utakapokuta mkeo wamempakata/

Wachache wana mapenzi ila tenzi kuwapata/ hauwezi bila Mwenyezi utadata/ kindezi kisa penzi atakukamata/

Kwa mwenye Benz atakuacha/ hauna malezi linavuja pakacha/ hata uwe mbezi na pesa ya kutakata/ bado utafanyiwa ushenzi kwa muuza kashata/

Ule muda unasaka mahitaji, ili Family njaa isijelala/

Wife yupo kifuani kwa mshikaji, huku akikuita fala/

Mapenzi hayana Falsafa, hata uwe umesoma sana/

Mapenzi yanaleta maafa, sio Tarime mpaka Tanga wanauwana/
Upendo hakuna wameweka pesa mbele..//

Mke ana nuna ukiacha pesa ya tembele..//

Maisha utaftaji hawajui tunayoyapitia..//

Wao kazi udangaji na kugeuka viruka njiaa..//

Tumuombe MANANI arudishe upendo na amani..//

Hekima nidhamu tuishi kama Zamani..//

Amani furaha zitawale majumbani..//

Mola hatotuacha me nakiri abadani..//
 
Mtaani vitu vinapanda tu, kula nyama mpaka siku kuu /
Mafuta bei juu, bora utembee kwa miguu/
Hali taabani kwa kila mtu, viongozi wanajali mali kuliko utu/


Kila sehemu, Uchawa na ushushu umekua ishu kama atm/
Back to the game, me sio size ya marapa wenu/
 
Mtaani vitu vinapanda tu, kula nyama mpaka siku kuu /
Mafuta bei juu, bora utembee kwa miguu/
Hali taabani kwa kila mtu, viongozi wanajali mali kuliko utu/


Kila sehemu, Uchawa na ushushu umekua ishu kama atm/
Back to the game, me sio size ya marapa wenu/
Spika naomba mwongozo/ wametushika watoza tozo/ tunahangaika huu uozo/ wao wameshika Gozo/
Na kupiga Mvinyo/ wanatupiga ka' Mwakinyo/ na ukiiga kula kwinyo/
Utajikuta kwa maniga mvua za El nino/
 
kamwili kembamba napiga show ya mamba

Na Hii suruali ilivyo Pana/ nakaza na kamba

Mzee Baba si tunachalaza /kila mtaa kila Kona

Sio kwamba navimba hapana /we mwenyewe si unaona

Hizi bumbum kubam ukilegeza Tu umeumia damn

Wazee tuna akili nyingi /sema ndo hatuna madegree

Ubishi mwingi wakina azi holak na skanga show haina poa

Hip pop hatuilanzi tunakesha nao maskani jukwaani mpaka kwenye hotel zenye hadhi [emoji110]
 
Upendo umefika mwisho, wapendanao wanajinyonga/

Wengine ni vitisho, kama mikwara ya Mandonga/

Hakuna upatanisho, kila mmoja anachonga/

Kifo ndio hitimisho, hata kama alikukonga/

Unaempenda hakupendi kama uteja wa unga/

Usiye mpenda haendi kama kamba umemfunga/

Dharau haijengi siyo tofari la nyumba/

Mapenzi yana mengi bwana mdogo chunga/

Mnunulie simu wenzako wampe vocha/

Jifanye mwalimu ajifanye kocha/

Mpe za kujikimu akakufanye ndondocha/

Yanakata stimu mapenzi ulofa/

Hiyo bastola unayonunua, haitaua kabisa vibaka/

Bali mwenyewe utajiua, utakapokuta mkeo wamempakata/

Wachache wana mapenzi ila tenzi kuwapata/ hauwezi bila Mwenyezi utadata/ kindezi kisa penzi atakukamata/

Kwa mwenye Benz atakuacha/ hauna malezi linavuja pakacha/ hata uwe mbezi na pesa ya kutakata/ bado utafanyiwa ushenzi kwa muuza kashata/

Ule muda unasaka mahitaji, ili Family njaa isijelala/

Wife yupo kifuani kwa mshikaji, huku akikuita fala/

Mapenzi hayana Falsafa, hata uwe umesoma sana/

Mapenzi yanaleta maafa, sio Tarime mpaka Tanga wanauwana/
Hatari
 
Sihitaji kisu, napotaka kuchana/
Kwenye biti nazama kiharifu, mithili ya osama/
Mimi niko tayari hata kupambana, usiku na mchana kwa ajiri ya wana/

Usiulize kabisa mitaa ninayotoka, kuna vichaa wanaweza wakuumize ukishoboka/
anytime wako busy na raha za kumoka/
Mademu kuwapata easy, kikubwa mifuko isiwe imetoboka/
 
Natamani nifunge safari mpaka kwa malkia/
Nimpe habari ambazo labda hajaziskia/
Nimweleze yote niliyoshuhudia, bila kujari hatari au kama atanichukia/
Kwani Sina mashaka, nimejiandaa kisaikolojia/
Niko tayari kuvunja miko na kuvuka mipaka, kwa kuipambania Tanzania/
Wengi tunajua tulipo, ila hatujui wapi tutaishia/
Japo wenye nia, tupo kwenye njia ya mabadiliko/
...
 
Kwaheri Malkia eliza/
bado siamini kama umelala chini na safari umeimaliza/
wasalimie nyerere, hitla na nqurnziza/
wambie sie hatuna kwere ila corona inatumalza/
japo enzi zako hukuendeshwa kijinga/
ulikuwa imara kama tingatinga/
Lakini Mungu akiamua, hakuna wakupinga/
ndio maana hata kitumbua kikiungua kinavimba/
 
Napenda kuchana kila dakika/
kunibadisha ni sawa na kuforce shetani kuwa malaika/
Hali ya kitaa inatisha, mpaka vichaa wanavuta shisha/
vijana wemekua viazi, usharobaro wanaona hadhi/
wanakula madawa wakati hawana maradhi/
 
Kila nachofanya ni mkosi, siambulii kitu zaidi ya loss/
Nilichogundua ni kuwa mshiko na boss, sawa na mwiko na msosi/
jf ukiwa huna noti, mademu hawaquqoute mpaka uwapigie magoti/
 
Hii sio mada/ ya siasa au anasa/ ili watoto wachangie/
huwezi ona makada/ warembo wa kisasa/ wanataka za "njoo ubambie"/
Hakuna ada/ ila vipi wajaze kurasa/ lazima wakimbie/
Juu kama KISHADA/ Mvumbo nawanyanyasa/ ni vipi niwahurumie/
Nachoma dawa/ nakohoa nipo sawa/ wanapagawa wanaandika mashudu/
Hawana power/ nawanawa hawa chawa/ nawachinja kibudu/
.
 
Wanasema rhymes nakohoa, kama AK Forty Seven/
Ngoma sitaki kutoa, watanipanga na madogo kwenye Top ten/
Ambao viduku wakinyoa, wanajiona tayari wapo Heaven/
Vocal zao za kidada poa/ Mvumbo napigia masturbation/
.
 
Wanasema natema ngumu, kama chuma cha Behewa/

Bado nipo humu, maana wakushi wananielewa/

Usiguse Mvumbo ni sumu, usijesema unaonewa/

Kwa moshi wa ndumu, mpaka mapepo yanakemewa/

Mamwera wana paff marijuana, wanakiri haina madhara/

Kisha wanashangaa vipi nachana, na kichwani nina Para/
 
Kila kona naona noma, hakuna ahueni.../
Mishe zimegoma, mpaka sangoma ananidai hen../

Wana wana-say, haba na haba hujaza kibaba/
Nshatafuta pay through tough way, but still life is harder.../

Na sina mama wala baba.../
nshapush sana ngada ili nilipe ada..../
 
Mistari mingi imejaa kichwani, natema madini utadhani diggara wa mererani/
Bila mashaka navuka mipaka, mpaka mamlaka zinauliza mi ni mnyama wa aina gani/

Mi ni kama shetani, ukinijaribu kiimani utapotelea gizani/
maskani wananita blackman, cause muda wote nimesizi kama veteran/
 
Trap trap trip trip trip,
Vua chupi, Nifungue zip,
Nikupe cha chap, tipige nap,..

Mi nitawaalibia tu ngoja nibaki msomaji
 
Trap trap trip trip trip,
Vua chupi, Nifungue zip,
Nikupe cha chap, tipige nap,..

Mi nitawaalibia tu ngoja nibaki msomaji
Ukiwa msomaji, utaonekana mzugaji/
wachanaji wanaficha vipaji, cause wanaogopa kuitwa wajuaji../

Bongo kila mtu jaji/
na uongo ndio mtaji/
usishangae kusikia, @mwampyungu kaenda hongkong na bajaji../
 
MADA: IKULU Mvumbo Scars

Ikulu ni mahali patakatifu/
jengo lake ni jeupe kama tishu, linang'ara mpaka usiku/
sio sehemu ya waharifu, ukileta bifu utafanywa kama lissu/

muulize ana makinda, atakwambie jinsi panalindwa/
jifanye umepinda utolewe marinda../
 
ngumu kumeza, rahisi kueleza/
na bila ndumu huwezi kuicheza/
wanaoibeza wamezoea bongo fleva/

wengine wanaiita hardcore, cause wanapenda zile za kusifia tako/
Na me nazdi kuwatupia nako2nako/
nawapa mistari adimu zaidi ya jaco, halaf kichwani na elimu utasema ndalichako../
 
Back
Top Bottom