asante sana, ni aina ipi mliyo nayondio boss wangu.Makadamia tunazo,bei ya mche ni sh 9000.Karibu sana
Mko vizuriipyax .karibu darasa huru kuhusu miche ya matunda
Hii miche inaanza kuzaa ikiwa na urefu wa kuanzia 50-80cm.Mpapai unaotoa matunda ndani ya Miezi sita je huwa mti wake unakuwa na urefu kiasi gani?
Je tuseme baada ya miaka miwili mti unaweza kuongezeka urefu kufikia usawa wa paa la nyumba?
Nanje mizizi yake ni mikubwa kiasi gani? Je inakuwa kwa kuelekea chini ya aridhi (Straight down) Au inakuwa kwa kutambaa usawa wa ardhi? (horizontally)
Mpapai unaotoa matunda ndani ya Miezi sita je huwa mti wake unakuwa na urefu kiasi gani?