Ni wazo zuri mkuuNataka anza kilimo cha mapapai kwa ajiri ya biashara. Unanishaurije hapa ?
Ni wazo zuri mkuuNataka anza kilimo cha mapapai kwa ajiri ya biashara. Unanishaurije hapa ?
Mkuu kwa Morogoro huko huko maeneo ya mtega kule karibia na hifadhi maji mda wote yana tirilika kutoka milimaniNi wazo zuri mkuu
Pia ni muhimu kuzingatia mambo machache muhimu
1.Hakikisha eneo lako lina ardhi yenye rutuba.
2.Hali ya hewa
3.Huduma ya maji ya uhakika
4.Uhakika wa soko
5.Uchaguzi wa mbegu/miche bora
ndio boss wangu ndimu tunazo,kwasasa ndimu tulizonazo ni seedless,ndimu za kienyeji zimetuishia kwasasa.
Mavuno ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Bei ya mche ni 2000
Nahitaji miti ya Chery.Karibu sana Morogoro lakini karibu pia SUA tukuhudumie boss. Tutakuwa bega kwa bega katika kufikia malengo yako.