INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

wakati wa mvua nyingi miche midogo hupata ukungu, hivyo ni muhimu kupiga dawa.

Karibuni wateja wetu kwa huduma na elimu bora
 
Sync contacts zako na gmail

In case umeibiwa au sinu imeharibika unazirudisha kwenye simu mpya
 
karibu sana tuwahudumie miche ya papai,kwa sh 3500 kila mche
 
tuna miche ya papai aina 2
Malkia F1 na Calfornia
 
Cocoa hustawi vizuri katika mikoa ifuatayo
Morogoro,Mbeya,Tanga,Kigoma

kwa space ya 3*3m utahitaji miche 544/eka
Kwa space ya 4*4m utahitaji miche 306/eka
 
korosho inastawi vizuri ukanda wa Pwani haya ni maeneo yenye sifa ya kutunza yenye unyevu,joto kiasi na kiwango cha mvua za wastani
 
Kuna mbegu ya miembe mizuri itayokubali mikoa ya baridi ? Mbeya, Njombe Iringa?
 
Kuna mbegu ya miembe mizuri itayokubali mikoa ya baridi ? Mbeya, Njombe Iringa?
Ndio,Mikoa yenye baridi aina mbili kati ya sita ndio zinafanya vizuri
1.Red indian
2.Apple mango
 
0719 527062
0757056472
Karibuni niwahudumie
 
Huwa mna miche ya kahawa, na niombe kujua kama ukanda wa dar na bagamoyo kahawa inakubali?
 
Huwa mna miche ya kahawa, na niombe kujua kama ukanda wa dar na bagamoyo kahawa inakubali?
Kwenye kitengo chetu kahawa hatuna boss,nina amini miche itakuwa inapatikana kitengo cha Agriculture hapa hapa SUA.

Kuhusu kahawa Dar na Bagamoyo haina matokeo mazuri,kahawa inastawi zaidi mikoa au maeneo yenye baridi,mvua za kutosha,kiwango kidogo cha joto,maeneo yenye asili ya miinuko.

Mikoa au maeneo ambayo migomba,parachichi zinastawi basi kahawa pia inakubali

Mikoa inayofanya vizuri kwenye kahawa ni Kilimanjaro,Arusha,Tanga(Lushoto),Mbeya,Kagera etc
 
Asante sana kwa ufafanuzi, nitakaribia kwa miche mingine ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…