Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sync contacts zako na gmailWapendwa kwanza niombe radhi kwa kuwa kimya kwa kipindi cha mwezi mzima.Niliibiwa simu,hii imepelekea kupoteza contacts za wateja wangu wote.
Lakini pia niombe radhi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepata changamoto kupitia namba yangu ya Whatsapp,kwa kutumiwa ujumbe wenye maudhui kitapeli.
Karibuni tuwahadumie,mche wa korosho sh 2500
Tunaweza kuwasilianaNdio,Mikoa yenye baridi aina mbili kati ya sita ndio zinafanya vizuri
1.Red indian
2.Apple mango
Kwenye kitengo chetu kahawa hatuna boss,nina amini miche itakuwa inapatikana kitengo cha Agriculture hapa hapa SUA.Huwa mna miche ya kahawa, na niombe kujua kama ukanda wa dar na bagamoyo kahawa inakubali?
Asante sana kwa ufafanuzi, nitakaribia kwa miche mingine ndugu yangu.Kwenye kitengo chetu kahawa hatuna boss,nina amini miche itakuwa inapatikana kitengo cha Agriculture hapa hapa SUA.
Kuhusu kahawa Dar na Bagamoyo haina matokeo mazuri,kahawa inastawi zaidi mikoa au maeneo yenye baridi,mvua za kutosha,kiwango kidogo cha joto,maeneo yenye asili ya miinuko.
Mikoa au maeneo ambayo migomba,parachichi zinastawi basi kahawa pia inakubali
Mikoa inayofanya vizuri kwenye kahawa ni Kilimanjaro,Arusha,Tanga(Lushoto),Mbeya,Kagera etc