INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Hizi parachichi zinachukua muda Gani kuanza kuzaa
 
Huu ndio msimu.mzuri wa kupanda miche.

Miche yetu imegawanyika makundi mawili
1.Miche ya miti ya mbao
2.Miche ya miti ya matunda
4.Spices(viungo vya chakula/chai.


Karibuni sana tuwahudumie
 
Mkuu ninashamba pwani vikindu, nahitaji kupanda minazi au korosho zao lipi unanishauri nilipe kipaumbele
Minazi na Korosho,yote inastawi ukanda wa Pwani.

Binafsi ninakushauri upande korosho
 
Komamanga hustawi zaidi katika mikoa ya Pwani, yaani DSM, Tanga, Mtwara ambako huko kuna vipindi virefu vya mvua, Joto na ardhi ina unyevunyevu lakini pia hakuna vipindi virefu vya jua.
Soko la makomamanga liko wapi?
Bei ikoje?
 
naishi mkoa wa mwanza ni miche gani ya matunda inaweza stawi vizuri nipo mwanza wilay ya ilemela nipo airport
Boss huko unaweza kupanda miembe,papai,parachichi,passions,komamanga n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…