INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.

View attachment 1557232

View attachment 1557234

View attachment 1557237

View attachment 1557239

View attachment 1557240

View attachment 1557242

View attachment 1557243

View attachment 1557244

View attachment 1557246

View attachment 1557247

View attachment 1557248

View attachment 1557249

View attachment 1557250

View attachment 1557251
Hizi parachichi zinachukua muda Gani kuanza kuzaa
 
IMG_20230309_111852.jpg
shufaa
 
Huu ndio msimu.mzuri wa kupanda miche.

Miche yetu imegawanyika makundi mawili
1.Miche ya miti ya mbao
2.Miche ya miti ya matunda
4.Spices(viungo vya chakula/chai.


Karibuni sana tuwahudumie
 
Mkuu ninashamba pwani vikindu, nahitaji kupanda minazi au korosho zao lipi unanishauri nilipe kipaumbele
Minazi na Korosho,yote inastawi ukanda wa Pwani.

Binafsi ninakushauri upande korosho
 
Komamanga hustawi zaidi katika mikoa ya Pwani, yaani DSM, Tanga, Mtwara ambako huko kuna vipindi virefu vya mvua, Joto na ardhi ina unyevunyevu lakini pia hakuna vipindi virefu vya jua.
Soko la makomamanga liko wapi?
Bei ikoje?
 
naishi mkoa wa mwanza ni miche gani ya matunda inaweza stawi vizuri nipo mwanza wilay ya ilemela nipo airport
Boss huko unaweza kupanda miembe,papai,parachichi,passions,komamanga n.k
 
Back
Top Bottom