INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Ukiwa kwenye early stage ngumu kugundua mkuu.

Ila sikushauri kuuteketeza Kwani unasaidia kwenye uchavushaji wa maua kama tu mipapai jike pia ipo around
asante sana ila na mipapa kama sita apa nje nashindwa kuielewa kabisa nafikiri ni wakati wa mamuzi magumu kabla haija niudhi
 
asante sana ila na mipapa kama sita apa nje nashindwa kuielewa kabisa nafikiri ni wakati wa mamuzi magumu kabla haija niudhi
Utanitumia picha niione mkuu.

Haiwezekani miche 6 itumie rutuba bure bure tu kumbe ni dume(joking)
 
nyie watu wa hortculture ni muhimu sana,kuna jamaa yangu alinitembelea akanambia ile mipapai ulikua unasema ofisini ndio hii? akanishauri eti ni tatekate na panga kama kuipa majeraha itakuwa jike nilimcheki sana sikumpatia jibu
Hiyo Mipapai inapitia wakati mgumu Sana kumbe tayari kuna shambulizi lilishapangwa kufanyika,
 
To be honest hizo mbegu zenu zimenikwaza, sina lengo la kuwaharibia biashara ila ukweli ni kwamba hizo mbegu zinaonekana kuwa na mapungufu, matunda yake yanaoza kwa ndani na kuwa na wadudu, fuatilieni mfanye utafiti, ningekuwa Moro ningewaletea mapera yangu ambayo miche yake nilichukua SUA
 
True!
 
Sawa
 
Asante kwa wanaoendelea kutuamini,you are blessed

Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…