INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

IMG-20200831-WA0012.jpg
 
Hali ya hewa ni rafiki kabisa kwa kilimo cha miche ya muda mfupi.

Miezi 6 unaanza kula Papai na Embe

Miaka 2 unaanza kula Chungwa

Mwaka 1 na nusu unaanza kula Mapera

Miaka 2 na nusu unaanza kula parachichi

Miaka 3 (Mbegu ya pemba) na miaka 8(africantall) unaanza kuvuna nazi.
Karibuni sana
 
Shukrani ziwafikie members wote wanaoendelea tukuamini na kutuunga mkono. Asanteni sana
 
Safi sana Mkuu, nitawasiliana nawe...mi nataka miche ya matunda michache michache nipande nyumbani kwangu.
karibu sana boss,muda na saa yoyote niko available.Karibu tuwasiliane Pm au kupitia namba zangu za simu
 
Back
Top Bottom