Dark mode
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 732
- 867
Nina heka mbili zipo dar es salaam kijiji cha mwasonga ni bondeni kidogo ardhi yake hua inajaa sana maji kipindi cha mvua na ua ni kavu kipindi cha kiangazi ni mtunda au zao la namna gani naweza kupanda?nimejaribu mara kadhaa bamia zinakutana na mvua chali