Hivi mnaweza kusafirisha miche kwa Basi Hadi Iramba!Mbegu ya pemba ipo,Hii unavuna baada ya miaka 3 .Lakini pia ipo Africantall ,unaanza kuvuna baada ya miaka 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnaweza kusafirisha miche kwa Basi Hadi Iramba!Mbegu ya pemba ipo,Hii unavuna baada ya miaka 3 .Lakini pia ipo Africantall ,unaanza kuvuna baada ya miaka 8
Duh ivi vitu vingine tunatoana ushamba asee ndo vinini ivo nimeona naizo cjui passion ninView attachment 1599972
star fruits.Mche 2000
Hizo ni star fruits boss, waswahili tumezoea kuita Mbilimbi za kizungu😊. Na matunda yenye ladha nzuri na harufu nzuri sana. Unaweza kula hivyo hivyo na wengine wanatengeneza juice. Ladha yake na harufu inavutia sana. Kwenye juice. Hayana uchachuDuh ivi vitu vingine tunatoana ushamba asee ndo vinini ivo nimeona naizo cjui passion nin
Hizo nyingine ni Giant passion. Ni passion kama passion nyingine tofauti yake ni size, hizo ni kubwa sana kulinganisha na passion nyingine.Duh ivi vitu vingine tunatoana ushamba asee ndo vinini ivo nimeona naizo cjui passion nin
Dah kwakweli nitakaribia na miongoni mwa mbegu nitakazozihitaji nihizo zilizonitoa nitahitaji hizo zilizonitoa ushamba.. Mbeya zinakubali lknkaribu sana kwa maswali zaidi na huduma pia
Mti wa apple unaweza kustawi Dsm?Nyongeza:
Ukwaju 2000/=
Balungi 2000/=
Embe(Alphonso,Kent,Tomyy,Dodo,red indian)@ 2000/
Apple 2000/=
Seedless oranges(Zimetuishia kwasasa ila tunapandikiza nyingine ) bei 2000/=
Karibuni na asante kwa wote wanaendelea kutuamini katika kuwapatia huduma nzuri.
Ndio mkuu, Star fruits zinafaa Mbeya. Karibu sana niko available 24/7 Pm hata kwenye namba zangu za simu.Dah kwakweli nitakaribia namingoni mwa mbegu nitakazozihitaji nihizo zilizonitoa nitahitaji hizo zilizonitoa ushamba..Mbeya zinakubali lkn
Sawa ndugu, utanijuzaBoss kwenye kitalu chetu miche ya nanasi hatuna.Lakini Nitauliza kwa wengine kama ipo,nitakupa feedback