INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

IMG-20200901-WA0028.jpg

Star fruits. Mche 2000
 
Duh ivi vitu vingine tunatoana ushamba asee ndo vinini ivo nimeona naizo cjui passion nin
Hizo ni star fruits boss, waswahili tumezoea kuita Mbilimbi za kizungu😊. Na matunda yenye ladha nzuri na harufu nzuri sana. Unaweza kula hivyo hivyo na wengine wanatengeneza juice. Ladha yake na harufu inavutia sana. Kwenye juice. Hayana uchachu
 
Duh ivi vitu vingine tunatoana ushamba asee ndo vinini ivo nimeona naizo cjui passion nin
Hizo nyingine ni Giant passion. Ni passion kama passion nyingine tofauti yake ni size, hizo ni kubwa sana kulinganisha na passion nyingine.
 
Nyongeza:

Ukwaju 2000/=
Balungi 2000/=
Embe(Alphonso,Kent,Tomyy,Dodo,red indian)@ 2000/
Apple 2000/=
Seedless oranges(Zimetuishia kwasasa ila tunapandikiza nyingine ) bei 2000/=

Karibuni na asante kwa wote wanaendelea kutuamini katika kuwapatia huduma nzuri.
Mti wa apple unaweza kustawi Dsm?
 
Dah kwakweli nitakaribia namingoni mwa mbegu nitakazozihitaji nihizo zilizonitoa nitahitaji hizo zilizonitoa ushamba..Mbeya zinakubali lkn
Ndio mkuu, Star fruits zinafaa Mbeya. Karibu sana niko available 24/7 Pm hata kwenye namba zangu za simu.
 
Back
Top Bottom