Hakuna utofauti wowote ule kwenye kupanda kiufupi hata wewe haujui chanzo cha hiyo hali ya mwembe kupukutisha maua ila ni kwamba unabashiri tuPole boss.Makosa bila shaka yalianza kwenye namna ya kuupanda huo mche boss.Miche iliyofanyiwa budding upandaji wake ni tofauti na miche ya kienyeji.
Lakini pia,utunzaji kuanzia mche unapoanza kuupanda mpaka unapokuwa stable
Possible kuna mauzauza.aisee hamna mkono wa mtu hapo kweli
So nifanyaje utoe matunda?Pole boss.Makosa bila shaka yalianza kwenye namna ya kuupanda huo mche boss.Miche iliyofanyiwa budding upandaji wake ni tofauti na miche ya kienyeji.
Lakini pia,utunzaji kuanzia mche unapoanza kuupanda mpaka unapokuwa stable
Ina stawi nimeonaNaomba nikuulize mkuu, hivi minazi inaweza kuota kanda ya ziwa?