INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Nina heka mbili zipo dar es salaam kijiji cha mwasonga ni bondeni kidogo ardhi yake hua inajaa sana maji kipindi cha mvua na ua ni kavu kipindi cha kiangazi ni mtunda au zao la namna gani naweza kupanda?nimejaribu mara kadhaa bamia zinakutana na mvua chali
 
Pole kwa hiyo changamoto mkuu.
Kwa case ya eneo lako miche ambayo itastahimili ni miembe,limao na ndimu.
Karibu
 
Miche hiyo(embe, limao na ndimu) itafaa kwasababu mizizi yake inakwenda mbali hivyo itastahimili nguvu ya maji lakini pia wingi wa maji hautaadhiri mche sababu ni stable ukilinganisha na bamia .Karibu
 
hizi ni mbegu za GMO??
 
maan mfano, hiyo minazi ya muda mfupi, kuna mahala nilitaste madafu yake,hayana ladha kabisa.
Pole boss,huenda kulikuwa na shida mahali.
karibu ununue kwetu miche hutajutia maamuzi.
 
Ukwaju unachukua muda gani mpaka kuvuna?
 
Miche hiyo(embe, limao na ndimu) itafaa kwasababu mizizi yake inakwenda mbali hivyo itastahimili nguvu ya maji lakini pia wingi wa maji hautaadhiri mche sababu ni stable ukilinganisha na bamia .Karibu
shamba langu ukichimba kwenda chini futi moja na nusu mpaka futi mbili unakutana na miamba , ni aina gani ya miti ya matunda inafaa hapo?
 
Hapo ninakushauri upande miche ya parachichi,fenesi sababu mizizi yake ina enda chini na ina uwezo kujipenyeza hata kwenye miamba.Lakini pia unaweza kuotesha starwberry na passion maana mizizi yake ni mifupi haiendi chini ila ni kama inasambaa.Karibu
 
Vip kuhusu na ukwaju unatumia muda gani?
 
shamba langu ukichimba kwenda chini futi moja na nusu mpaka futi mbili unakutana na miamba , ni aina gani ya miti ya matunda inafaa hapo?
karibu kwa maswali na maelezo zaidi
 
Niko pwani ya kibiti Je matunda ya Mlimao,Ndimu,Chungwa parachichi na embe unaweza kustawi na kupata matokeo mazuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…