Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigezo cha kwanza ni tunafanya uchunguzi ,Mfano Embe,tunaangalia kama miche ya asali/kienyeji ya embe inastawi eneo/mkoa huo.Kama inastawi na kuleta matokeo basi hata mche wa kisasa pia utaleta matokeoNiko pwani ya kibiti Je matunda ya Mlimao,Ndimu,Chungwa parachichi na embe unaweza kustawi na kupata matokeo mazuri?
Kaka nachukua namba yako manake ndio maana kusafisha msitu hekali 30 kbt nitaanza kupanda mwezi wa 2 kama una group la whatsap la kilimo cha matnda niunge.Ndio boss.Miche hiyo inastawi vizuri kabisa na kuleta matokeo mazuri
Sawa mkuu chukua namba tuzidi kuwasiliana.Karibu sana.Kaka nachukua namba yako manake ndio maana kusafisha msitu hekali 30 kbt nitaanza kupanda mwezi wa 2 kama una group la whatsap la kilimo cha matnda niunge.
Ni kweli nilinunua SUAPole boss,ulinunua SUA mkuu?
sikumbuki,ila ninachokumbuka nilinunua na kwenda kupanda.baada ya muda naona miembe inakwenda juu tuu wala haitoi maua.baadhi niliikata baada ya mika 6 ili kupanda vitu vingine maana niliona naharibu ardhi yangu.hata ile iliyobaki bado haijatoa hata mauakabla ya kupanda ulipewa maelekezo ya jinsi ya kupanda miche kitaalamu? sababu hii miche kuna jinsi ya kuipanda
Pole mkuu.Yapo maelekezo/muongozo wa namna ya kuotesha miche hii ya muda na kushindwa kufanya hivyo mmea unaweza kukaa miaka 10 bila kuleta matokeo uliyotarajia.sikumbuki,ila ninachokumbuka nilinunua na kwenda kupanda.baada ya muda naona miembe inakwenda juu tuu wala haitoi maua.baadhi niliikata baada ya mika 6 ili kupanda vitu vingine maana niliona naharibu ardhi yangu.hata ile iliyobaki bado haijatoa hata maua
pamoja ndugu ndakuchekindio mkuu,ipo.Bei ya mche ni sh 2000
Limao uchukua muda gani mbaka inapokua tayari kuvunwa?Miche hiyo(embe, limao na ndimu) itafaa kwasababu mizizi yake inakwenda mbali hivyo itastahimili nguvu ya maji lakini pia wingi wa maji hautaadhiri mche sababu ni stable ukilinganisha na bamia .Karibu
Ni baada ya muda gani?