Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaamu...kuna embe zinaitwa bolibo..zipo na mnauzajeNyongeza:
Ukwaju 2000/=
Balungi 2000/=
Embe(Alphonso,Kent,Tomyy,Dodo,red indian)@ 2000/
Apple 2000/=
Seedless oranges(Zimetuishia kwasasa ila tunapandikiza nyingine ) bei 2000/=
Karibuni na asante kwa wote wanaendelea kutuamini katika kuwapatia huduma nzuri.
ASANTE BEI NI MOJA?JE KUNA AMBAZO ZINA UZIKA KIBIASHARA ZAIDI YA HIZO?Bolibo zipo boss wangu.Karibu sana