INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Screenshot_2020-11-18-17-51-29-1.png
 
Nyongeza:

Ukwaju 2000/=
Balungi 2000/=
Embe(Alphonso,Kent,Tomyy,Dodo,red indian)@ 2000/
Apple 2000/=
Seedless oranges(Zimetuishia kwasasa ila tunapandikiza nyingine ) bei 2000/=

Karibuni na asante kwa wote wanaendelea kutuamini katika kuwapatia huduma nzuri.
Salaamu...kuna embe zinaitwa bolibo..zipo na mnauzaje
 
ASANTE BEI NI MOJA?JE KUNA AMBAZO ZINA UZIKA KIBIASHARA ZAIDI YA HIZO?
Embe zote bei yake ni sh 2500
Zipo aina nyingine
Kent
Tommy
Alphonso
Red indian
Dodo
Apple mango
Hizo zote zina soko Mkuu
 
Back
Top Bottom