Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya yanatambaa juu ya miti auView attachment 1673283
giant passion
Safi sana hii.Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
Asante kwa ombi lako mkuu,nitalifanyia kazi.Lakini pia kama kuna picha umeshindwa kuelewa naomba uniqoute kwenye picha na page husika ili nikitajie jina sasaPia ningeomba picha unazoweka ziwe na Name Tag ili iwe rahisi kujua ni tunda la aina gani wengine huku tunaona chengachenga kwa baadhi ya matunda.
#Black passionView attachment 1673930
1.Dawa ambayo tumekuwa tukiwashauri wateja wetu waitumie kuboost na kuua wadudu inaitwa FARM GUARD,na wamekuwa wakitupa feedback kuwa inafanya vizuri.Lakini pia zipo dawa ambazo pia mkulima anapaswa kuzipiga kwenye miche ili kuondoa ukungu ,ukungu hujitokeza kipindi cha mvua nyingi.Hongera kwa kazi nzuri,
1) Ni dawa gani zinatumika wakati wa kukuuza hii miche lets say kama Papai ,strawbery,maembe,Pasion,Parachichi na mingineyo?
2) Ni matunda ya aina gani hushambuliwa na wadudu mara kwa mara hivyo kuhitaji uangalizi maalum?
3) Je kwa maeneo kama Bagamoyo na Kigamboni unashauri matunda ya aina gani yenye kustawi kwa 100% ukianzia na Ya muda mfupi na muda mrefu?
Nawasilisha
2.Hapa naweza kusema miche ya aina zote za matunda,inahitaji unangalizi.Kila mche kwa aina yake unahitaji matunzo na huduma nzuri ili kuleta matokeo yaliyotarajiwa huku ukifuata ushauri tutakao kupa tangu siku ya kwanza unaponunua miche kwetu.Mche wowote utahitajiHongera kwa kazi nzuri,
1) Ni dawa gani zinatumika wakati wa kukuuza hii miche lets say kama Papai ,strawbery,maembe,Pasion,Parachichi na mingineyo?
2) Ni matunda ya aina gani hushambuliwa na wadudu mara kwa mara hivyo kuhitaji uangalizi maalum?
3) Je kwa maeneo kama Bagamoyo na Kigamboni unashauri matunda ya aina gani yenye kustawi kwa 100% ukianzia na Ya muda mfupi na muda mrefu?
Nawasilisha
Hongera kwa kazi nzuri,

3.Asilimia kubwa ya miche yetu ni ya kisasa(zaidi ya 90%),nikiwa na maana kuwa imefanyiwa budding na mingine grafting, ni miche michache sana ambayo ni ya asili mfano,Ukwaju,Zaituni,Tende n.kHongera kwa kazi nzuri,
1) Ni dawa gani zinatumika wakati wa kukuuza hii miche lets say kama Papai ,strawbery,maembe,Pasion,Parachichi na mingineyo?
2) Ni matunda ya aina gani hushambuliwa na wadudu mara kwa mara hivyo kuhitaji uangalizi maalum?
3) Je kwa maeneo kama Bagamoyo na Kigamboni unashauri matunda ya aina gani yenye kustawi kwa 100% ukianzia na Ya muda mfupi na muda mrefu?
Nawasilisha
karibu mkuu kwa maswali zaidiHongera kwa kazi nzuri,
1) Ni dawa gani zinatumika wakati wa kukuuza hii miche lets say kama Papai ,strawbery,maembe,Pasion,Parachichi na mingineyo?
2) Ni matunda ya aina gani hushambuliwa na wadudu mara kwa mara hivyo kuhitaji uangalizi maalum?
3) Je kwa maeneo kama Bagamoyo na Kigamboni unashauri matunda ya aina gani yenye kustawi kwa 100% ukianzia na Ya muda mfupi na muda mrefu?
Nawasilisha
Nashukuru kwa kunijibu maswali yangu yote matatu pamoja na nyongeza yake Naona uko serious na kazi yako na unaijua vyema!karibu mkuu kwa maswali zaidi
Hii ndio inanipa mkate wa kila siku mkuu,inabidi niwe serious leo kuliko jana😁😁.Nashukuru kwa kunijibu maswali yangu yote matatu pamoja na nyongeza yake Naona uko serious na kazi yako na unaijua vyema!
Swali : Je strawbery inakubali maeneo ya pwani? Hizo sehemu mbili yani Bagamoyo na kigamboni?
Ok fine. Ngoja niandae miundo mbinu then order yangu itakuwa kama ifuatavyoHii ndio inanipa mkate wa kila siku mkuu,inabidi niwe serious leo kuliko jana[emoji16][emoji16].
Kuhusu strawberry Bagamoyo na Kigamboni zinakubali mkuu.
Strawberry zinastawi zaidi kwenye maeneo yenye joto la wastani,udongo wa tifutifu na wenye rutuba na muhimu zaidi ni upatikanaji wa maji.Hii miche inahitaji sana maji,unashauriwa kumwagilia mara 3 mpaka mara 4 kwa siku
Nashukuru kwa kunijibu maswali yangu yote matatu pamoja na nyongeza yake Naona uko serious na kazi yako na unaijua vyema!
Swali : Je strawbery inakubali maeneo ya pwani? Hizo sehemu mbili yani Bagamoyo na kigamboni?
Karibu sana boss muda na saa yoyote nikuhudumie,niko available 24/7 kupitia Pm na namba zangu za simu.Ok fine. Ngoja niandae miundo mbinu then order yangu itakuwa kama ifuatavyo
Papai
Limao
Chenza
Chungwa
Embe
Strawbery.
Je unafahamu ni wapi naweza kupata miti/mimea yenye dawa asili (Siifahamu kwa majina ) Mfano kama Mwarobaini, Mkaratusi, Chaichai and the like coz hii Corona imenipa funzo kubwa sana kwamba hii mimea Ina chakula na dawa za kila aina na muda muafaka wa kuachana na hizi dawa za kizungu.