Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukishapima udongo mpimaji anakushauri na mazao ambayo unaweza kupanda kutokana na udongo ulioko shambani? Au unaishia kuambiwa tu kuwa udomgo wako uko so and so??huduma hiyo ipo,zipo maabara za udongo ambazo unaweza kupata hiyo huduma
Njoo PMwanakushauri mkuu
Ukitaka lab results only wengi wanafanya wastani wa 30,000 kwa sample 1. Ukitaka analytical report ni kuanzia 50,000 kwa kila sampleHivi ukishapima udongo mpimaji anakushauri na mazao ambayo unaweza kupanda kutokana na udongo ulioko shambani? Au unaishia kuambiwa tu kuwa udomgo wako uko so and so??
Hass kwa dar utapoteza mudaLily parachichi aina ya Hass ile mbegu fupi Dar es salaam inaota na kuzaa?...pia nimeotesha white mulberries lakini hazizai tatizo ni nini
Umejaribu? Zinagoma?Hass kwa dar utapoteza muda
Natafuta miche ya madansiStrawberry guava hatuna mkuu
Nimeona kwa watu wangu wa karibu, unaweza kupanda miche 20 ikapona 2 au 3 na uzaaji wake ni mdogo sana na matunda hayana ubora. Kuna aina ambazo zinakubali ukanda wa pwaniUmejaribu? Zinagoma?
Unaweza nisaidia aina hizo mkuu mi nataka nipande tu kwenye plot sio kwa ajili ya biasharaNimeona kwa watu wangu wa karibu, unaweza kupanda miche 20 ikapona 2 au 3 na uzaaji wake ni mdogo sana na matunda hayana ubora. Kuna aina ambazo zinakubali ukanda wa pwani
Kwanza ,mkuu hili sio jibu la kumpa mteja,kuna lugha ya kumjibu mteja hata kama kitu anachotaka kununua kwako hakitaleta matokea aliyotarajia,Rejea comments zangu za nyuma utaelewa nini nina maanisha.Hass kwa dar utapoteza muda
Nimeona kwa watu wangu wa karibu, unaweza kupanda miche 20 ikapona 2 au 3 na uzaaji wake ni mdogo sana na matunda hayana ubora. Kuna aina ambazo zinakubali ukanda wa pwani