INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Shukrani kwa wale wanaoendelea kuniunga mkono kwa kupata huduma ya kununua miche.Asanteni sana
 
Hali ya hewa ya Manyoni(Singida) haina tofauti sana na Dom.
Hivyo nina amini matunda yanayostawi Dom yatastawi pia Manyoni.
Huko unaweza kupanda miembe,tende,limao/ndimu,papai,pera,passion,komamanga
Thx kwa ushauri soon nitakuwa mteja wako
 
Lily huyu mtu wa miche ya Apple [emoji519] uliyenipatia mbona ni kama hayuko serious.
 
Chikichi
Utahitaji miche 200
space 5*5m
Eneo lenye ukubwa wa eka 1
bei ya mche sh 2500
 
cocoa
miche 544
space 4*4m
eneo ukubwa wa eka 1
bei ya mche 2000
mikoa /wilsya zinazofaa ni,Morogoro,Tanga,Kyela,Rungwe,Kigoma
 
Hali ya hewa ni rafiki kwa kupanda miche ya muda mfupi,karibu SUA,Horticulture tuwahudumie
 
20210123_143728.jpg
 
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
migomba dar naipataje?
 
Kwa hali ya hewa ya kiteto.ni matunda gani yanayoweza kustawi vizuri na kutoa matunda bora?
Hali ya hewa ya Kiteto ni rafiki kwa miche ifuatayo
1.Parachichi aiba zote
2.Migomba
3.Passion aina zote
4.Citrus aina zote
5.Makadamia
6.strawberry
etc
 
Back
Top Bottom