Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thx kwa ushauri soon nitakuwa mteja wakoHali ya hewa ya Manyoni(Singida) haina tofauti sana na Dom.
Hivyo nina amini matunda yanayostawi Dom yatastawi pia Manyoni.
Huko unaweza kupanda miembe,tende,limao/ndimu,papai,pera,passion,komamanga
migomba dar naipataje?Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
Hali ya hewa ya Kiteto ni rafiki kwa miche ifuatayoKwa hali ya hewa ya kiteto.ni matunda gani yanayoweza kustawi vizuri na kutoa matunda bora?