INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

20210502_111247.jpg

German tea
 
Miche yenye urefu wa ft 3 mpaka 4 bei yake ni sh elfu 15.

Aina ya miche ya size hiyo(ft 3-4) iliyopo kwenye vitalu vyetu ni:
Chungwa
Makadamia
Limao
Embe aina zote
Tufaa
Pomela
Embe ng'ongo
 
Discount ipo endapo mteja atanunua kuanzia miche 10.
0719527062/0757056472
karibuni sana wakuu
 
Hongereni sana.
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
 
Back
Top Bottom