INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Migomba yetu imegawanyika katika makundi 2
A.Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya chakula(kupika,kukaanga,kuchoma n.k)
B.Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya matunda
 
Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya matunda ni hii ifuatayo
1.Mtwike
2.Kisukari
3.Kimalindi
 
Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya chakula ni hii ifuatayo
1.William
2.Uganda green
3.Mzuzu
4.Mshale
5.Mkono wa tembo
6.Jamaica
 
Nahitaji apple mango miche 20, nipo Dar, gharama zake kiasi gani.
Nitashukuru kama nitapata ambayo ishaanza kutoa maua.



Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Karibu sana boss,odder yako imepokelewa na tuko tayari kukuhudumia.
Karibu tuwasiliane zaidi
0719527062(whatsapp)
0757056472
 
Hivi cocoa inakubali wapi tena zaidi ya kagera na ukanda wa mbeya?

Hapa dom singida vipi?? Nataka mapori yangu yasikae kae tuu
Cocoa inakubali ukanda wa baridi na ukanda wa joto pia,ingawa Cocoa ya ukanda wa baridi ina matunda yanachelewa kuiva.
Cocoa ya ukanda wa joto inawahi kuiva ila matunda machache

karibu
 
Back
Top Bottom