Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, una miche ya "Maembe Mwaka"?View attachment 2042380
Kwa miche ya jamii moja(Migomba,Citrus,Embe n.k),aina tofauti tofauti,tuna fanya labelling ili kumrahisishia mteja kutofautisha.
Kuna maembe yanaitwa "Embe mwaka" ni yapi kati ya haya?katika vitalu vyetu,zipo aina 8 za miche ya embe
1.Bolibo
2.Dodo(kienyeji)
3.Red indian
4.Kent
5.Alphonso
6.Tommy
7.Embe tanga
8.Apple.mango
Karibu sana boss,odder yako imepokelewa na tuko tayari kukuhudumia.Nahitaji apple mango miche 20, nipo Dar, gharama zake kiasi gani.
Nitashukuru kama nitapata ambayo ishaanza kutoa maua.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hayo maembe nimekula mwaka huu! Ni matamu balaa!Kuna maembe yanaitwa "Embe mwaka" ni yapi kati ya haya?
Yanafanana na embe dodo kwa rangi na mwonekano wake. Isipokuwa yenyewe ni madogo na membamba hivi.Sina idea mkuu katika hili.
Labda kama una picha yake unitumie.
Hata mimi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Nimekula ni matamu balaa, nikaambiwa yanaitwa "Maembe Mwaka" sasa natafuta niyapande kabisa.Hayo maembe nimekula mwaka huu! Ni matamu balaa!
ipo boss,mche sh 2000
Cocoa inakubali ukanda wa baridi na ukanda wa joto pia,ingawa Cocoa ya ukanda wa baridi ina matunda yanachelewa kuiva.Hivi cocoa inakubali wapi tena zaidi ya kagera na ukanda wa mbeya?
Hapa dom singida vipi?? Nataka mapori yangu yasikae kae tuu