Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Good
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majani hasa ya mpera kuanguka na wakati mwingine mapera kuwa na wadudu ndani tatizo nini?Je,unakumbana na changamoto zifuatazo
1.Majani ya mche/miche kujikunja
2.Majani ya mche/miche kuanguka
3.Maua kuanguka
4.Matunda kuwa na muonekano mzuri lakini ndani yameoza au kuwa na wadudu
5.Mche/miche kudumaa n.k
Karibu Sua,Horticulture mkabala na Tiba road hapo tutakuhudumia miche lakini pia tutakupa elimu ya jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo na nyinginezo katika kuitunza miche yako.
SawaGreen is gold
Wapendwa kwanza niombe radhi kwa kuwa kimya kwa kipindi cha mwezi mzima.Niliibiwa simu,hii imepelekea kupoteza contacts za wateja wangu wote.
Lakini pia niombe radhi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepata changamoto kupitia namba yangu ya Whatsapp,kwa kutumiwa ujumbe wenye maudhui kitapeli.
Habari mkuu.Mna miche ya peaches??View attachment 2403856