INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Je,unakumbana na changamoto zifuatazo
1.Majani ya mche/miche kujikunja

2.Majani ya mche/miche kuanguka

3.Maua kuanguka

4.Matunda kuwa na muonekano mzuri lakini ndani yameoza au kuwa na wadudu

5.Mche/miche kudumaa n.k

Karibu Sua,Horticulture mkabala na Tiba road hapo tutakuhudumia miche lakini pia tutakupa elimu ya jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo na nyinginezo katika kuitunza miche yako.
 
Majani hasa ya mpera kuanguka na wakati mwingine mapera kuwa na wadudu ndani tatizo nini?
 
IMG-20220919-WA0004.jpg

Marando ya vanilla.
Tayari kumfikia mteja wetu
 
Wapendwa kwanza niombe radhi kwa kuwa kimya kwa kipindi cha mwezi mzima.Niliibiwa simu,hii imepelekea kupoteza contacts za wateja wangu wote.
Lakini pia niombe radhi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepata changamoto kupitia namba yangu ya Whatsapp,kwa kutumiwa ujumbe wenye maudhui kitapeli.
 
Pole sana sister. Morogoro mjini vibaka ni wengi sana.
Wapendwa kwanza niombe radhi kwa kuwa kimya kwa kipindi cha mwezi mzima.Niliibiwa simu,hii imepelekea kupoteza contacts za wateja wangu wote.
Lakini pia niombe radhi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepata changamoto kupitia namba yangu ya Whatsapp,kwa kutumiwa ujumbe wenye maudhui kitapeli.
 
msimu w amvua umeanza kwa baadhi ya maeneo ,hivyo ni wakati sahihi wa kuotesha miche
 
Back
Top Bottom