Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wetu analipa zaidi, kashiba shiba ana real estate ya pa kubusu na kukumbatia, sio scrawny arse Michelle![]()
![]()
![]()
I co-sign....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wetu analipa zaidi, kashiba shiba ana real estate ya pa kubusu na kukumbatia, sio scrawny arse Michelle![]()
![]()
![]()
Taratibu ndugu...siku comment on Mma Salma.I just commented on Michelle!!!
Manyama uzembe hata mimi ninayo sana hivyo siwezi kujitukana mwenye ( sic!)....Usikurupuke
... I tell you I'am sickened by this wanton obsession with US presidency. Its time to exalt ours
homeboy's girl is premium next to Baraka's by hundreds of orders of magnitude![]()
hakuna hapo chuki First Lady1 hata wewe ukiweka Avatar yako ya uchi tutaisema tu kusema ukweli ndio kuna chuki na Obama? Kwanini tuwe nae chuki wakati kwanza ni Rais wa mwanzo huko Amerika kuwa mtu mweusi.Tunajivunia sisi Watu weusi kuwa na Rais mweusi Bara la amerika. Tunachosema ni kweli tupu Mkuu First Lady1Jamani hawa people wanaboa sana na Comment zao baadhi yao naona wanachuki kubwa sana na family ya Obama
:help::disapointed:
Mzizimkavu nimejaribu kuweka hiyo Link hapa imekataa sijui kwa nn..zomment zimeniacha hoi kabisaaaaaahakuna hapo chuki First Lady1 hata wewe ukiweka Avatar yako ya uchi tutaisema tu kusema ukweli ndio kuna chuki na Obama? Kwanini tuwe nae chuki wakati kwanza ni Rais wa mwanzo huko Amerika kuwa mtu mweusi.Tunajivunia sisi Watu weusi kuwa na Rais mweusi Bara la amerika. Tunachosema ni kweli tupu Mkuu First Lady1
Kama Obama aliwai kutandika dope, sasa mkewe hajawahi kweli? Kama wana-exceed bajeti yao lazima watu waseme, lakini kama matumizi yako within the bajeti shida hakuna huo utakuwa ni wivu tu!!! Ila kwa mwendo huu utupu huko jirani na yawezekana wamevunja rekodi kwa kuwa wa kwanza kujadili mambo ya Iraq au Afghanistan ndani ya White House mara tu baada ya kuwa rais!!!!!
Kwani siku hizi amekuwa model?!!
...Huenda anataka tuone vimisuli vyake sijui anafanya mazoezi ya goju-ryuu huu mama! ilitakiwa na shemeji yetu Salma apate ushauri sidhani kama kuna mazoezi yoyote anayofanya yule bibie anajinenepea tu!!:rant::rant:
Kuwa mlinzi wa huyu mama ni shughuli pevu, huo urefu tu sijui ni ft ngapi.