Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Unakera sometimes,, Sasa huruma unayomuonea huyo kijana Ni ya Nini,, km sio unafiki tu,, bhana eeh maisha ni yako na michepuko ni yako
 
Daaah ndo kwa mdogo ake baba J [emoji3][emoji3]ko saizi mama J anajua kuwa umempangia chumba mdogo wake
Hizo hajui, ila siku ya kwanza anaenda Kupanga pale alipohana just mama j Alikua anajua.
Na sisi ndo tulimnunulia vitu vya kuanzia maisha kwny chumba kile.
Hili la Sasa hivi hajui chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakera sometimes,, Sasa huruma unayomuonea huyo kijana Ni ya Nini,, km sio unafiki tu,, bhana eeh maisha ni yako na michepuko ni yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona makasiriko mtu wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui sababu gani ila Sijawahi dumu na mchepuko hata awe mzuri vipi...!! Akianza kero za mara tuzae sijui vizinga vingi hanisikii
Chaga bahili wewe sijui ni Machame?[emoji38][emoji38]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona makasiriko mtu wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nionyeshe makasiriko yalipo
 
Hahah, huyu kamanda yupo race sana...muda wote kichwa imejaa mitkasi za kuwatafuna tu
Huku ndio anapumua mkuu mwache tu...unajua kuna watu wapo wazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…