Ishapita MDA Sana, mwaka wa pili huu ashasahau kabisa[emoji4]Kosa kubwa la kiufundi mkuu.
Wanawake hawajui kusamehe bali hufunika kombe mwanaharamu apite.
Kazi unayo ni suala la muda.
Hata , akufuate mwambie ni ngumu kumuachia maana umetangulia, kwa hilo utakuwa umeshiriki kukisaudia kizazi hiki kuparamia yaliyotuzidi.Haika umenena mkuu,
Hawa wanawake wanapita.
Uyu binti sio levo yake kabisa kijana.
Atulie akazane na masomo mapenz atayakuta.
Suala la kumuachia labda anifate yeye mwenyewe TU[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika umenena,Hata , akufuate mwambie ni ngumu kumuachia maana umetangulia, kwa hilo utakuwa umeshiriki kukisaudia kizazi hiki kuparamia yaliyotuzidi.
Pamoja sana,mrekebishe tu,akiwa sawa fanya kumpea
Aisee watu wana nyota.
Hahhaha jamani kweli ?Naam wa mikosi wapo pia[emoji38][emoji38][emoji38]
Sina nyota mimiWewe una nyota gani mamii[emoji28][emoji28]
Hahahaha [emoji23]
Daah hapo ndio huachiki sasaSina nyota mimi
Naweza kukuombea tu kwa Mungu ..mambo yaende .
Mama mjengo kumbe kisu balaaHa ha ha ....
Afu wachepukaji wengi wake zetu wazur Sana.
Binafs nikimuangalia wife angu na michepuko yangu Ni mbingu na ardhi Kenny suala zima la urembo.
Sema Basi TU tamaa mbele zinatuzidia[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani ni danga zuri😀😀Hahaha yawezekana , dp sio wa mchezo ..
Wanaume wengi hawajali michepuko hivi
Mwenye mikosiYupi eti mamii
Amina ..Daah hapo ndio huachiki sasa
Kweli aiseeYaa
Yaaani ni danga zuri[emoji3][emoji3]
Daah wewe utakuwa wa maana sana yaniAmina ..
Maombi ni silaha
Wa kawaida tu ..Daah wewe utakuwa wa maana sana yani
Kama nakuelewa vile[emoji28][emoji28][emoji28]Wa kawaida tu ..
Sema dunia inatuchanganya vibaya mno hadi tunakuwa vugu vugu .
Wewe umewahi kuwa mcha Mungu mzuriWa kawaida tu ..
Sema dunia inatuchanganya vibaya mno hadi tunakuwa vugu vugu .