Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Yaaan DeepPond anaonekana ni mbaba mmoja hivi simple ana mahela [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kama haendeshi harrier sijui
Ha ha ha ...mahela yatoke wapi mkuu,
ela ya kula na kunywa tu IPO ili watu wasife

Ila sio Ela ambayo Unaweza kaa kwa watu ukasema unahela watu wakakuelewa.

Kikubwa Ni ule moyo wa kujitoa TU, mtu anaweza kukutafsiti unahela Sana kumbe sio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vistory hivi kuna watu wamejijengea picha kuubwa[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…