Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani nawe khaaaa!

Siku mama j akija jua kuwa unamahusiano na rose??

Umejipangaje kwa hapo?
 
Toka umeacha kuandika nyuzi za mambo ya Jon sins emekua huna akili[emoji28]
Ha ha ha...bado naandika Sana mkuu,
Sema Mchepuko wangu kanikeep bize mpk nasahau kuleta humu. Sema Ni mchangiaj mzur Sana wanapoleta wengine humu.

Vipi unataka nianze kuleta mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh, nmekupata.
Ila sio kwamba nna uchumi mzur, Ni vile TU kujitoa na kua na vipaumbele ktk vile vinavyonipa furaha.

Kuna vingine ukinikuta nabana pesa utanikataa, Ni kwasababu TU sio vipaumbele vyangu Noelia

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifanya huoni tu, kijana katoswa sababu hana uwezo km ulionao, unaliliwa sababu ya uwezo, km alienda mpk ukweni akakubali kutambulishwa, haipendezi usitumie uwezo wako kunyanyasa hisia za watu,binti humtaki basi kazia hapo kuachana nae, mbona huna kiasi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani nawe khaaaa!

Siku mama j akija jua kuwa unamahusiano na rose??

Umejipangaje kwa hapo?
Apo breki ya kwanza Ni kukana, hata anikute nae kitandani.

Maelezo ya kukana yatakuja hapo hapo kutokana na Hali ya fumanizi ikoje siku iyo.

Nikikwama zaidi,
Naweza rudisha kibao kwa rose kua aliniroga, sijilelewi na Tena Apo naongea Niko serious kabisa usoni mkavu 100%.[emoji3]

ILA NNACHOAMINI,
KABISA SIWEZI KUKOSA MBINU YA KUJITETEA MIMI,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama j akisema muachane??
 
Mama j akisema muachane??
Icho Ni kipengele, ila kwenye kujitetea naamini Lazima anielewe.

Mamaj najua Kuniacha 100% sio rahisi,
na hata Kama kweli akiniacha ntafanya kila liwezekanalo anikumbuke na animiss ili turudiane.

Ikiwezekana hata kumharibia mahusiano yake mengine anirudie mbona Niko tayar

Vinginevyo Tuachane afu aamue aishi single forever
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mkubwa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake...... We muache kijana aendelee kutapatapa kama samaki nchi kavu[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hahahahhahahahahha. Inamaana mwenzio akihitaji kuolewa/kuzaa afanyaje??

Maana wewe unasemaga haupo tayari kuzaa nae kutokana na tabia zake atakusumbua??

Upo tayari kulea mtoto wa mwanaume mwenzio???
 
Mkuu,
1. Uyu kijana kanikuta tayar Niko nae uyu binti.

2. Uyu binti anakana kabisa kwamba Hana mahusiano nae uyu kijana.

3. Uyu kijana hajaja kuniomba kwamba nimuachie uyu binti kwamba anamalengo nae.

4. Nikiangalia kitabia, kimalengo na kimahusiano uyu binti na kijana hawaendani . Binti bado damu inachemka Sana.

Naanzaje Sasa kujifanya nna kiherehere kupatanisha mahusiano yao ambapo wote Hamna yeyote anaenipa ushirikiano?

Kwann nisiache kijana apambane TU mwnyw kwa jasho lake amtukize binti?

Je Kama nikiforce afu binti hamtaki? SI ntakua nmefanya kazi bure dada angu[emoji848]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhahahahahha. Inamaana mwenzio akihitaji kuolewa/kuzaa afanyaje??

Maana wewe unasemaga haupo tayari kuzaa nae kutokana na tabia zake atakusumbua??

Upo tayari kulea mtoto wa mwanaume mwenzio???
Juz TU Hapa Kwnyw ile kesi ya bodaboda.
Nilikua nawaza apatikane mtu tunaeheshimiana sana amzalishe tu Kisha aniachie niendelee nae.

Wadau wakanitahadharisha kua huo mchezo haufai, itakua Ndo bai bai nikaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mkubwa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake...... We muache kijana aendelee kutapatapa kama samaki nchi kavu[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ...hakika dada angu,

kijana apambane TU na Hali yake, akifanikiwa kumtuliza binti Mimi POA tu nitakaa pembeni nimuachie

Alishindwa asubirie TU wa levo yake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…