Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Serious kabisa,
Sina mpango nae nmeegesha TU pale.

Sasa namsaidiaje kijana, nimfate Mimi nimwambie nmemuachia?

Aaah iyo hapana mbona, itakua dharau kubwa Sana iyo[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute umweleze kwamba Rose hajakuwrka wazi kuhusu mahusiano yao na unahitaji ujue ukweli, kwa jinsi atakavyokueleza itakusaidia kufanya maamuzi ila usikae kimya huyo kijana ana wakati mgumu sana
 
Kama una namba ya huyo kijana fanya kumpigia then najua hukosi la kuongea nae ili kuweka mambo sawa.
Kumtafuta Mimi, Kuongea nae Ni ngumu sana.
Bwana mdg kwanza anaonekana ananiogopa tayar, nikimfata ntajishushia CV na ananiona nmekua dhaif sana kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafute umweleze kwamba Rose hajakuwrka wazi kuhusu mahusiano yao na unahitaji ujue ukweli, kwa jinsi atakavyokueleza itakusaidia kufanya maamuzi ila usikae kimya huyo kijana ana wakati mgumu sana
Tatizo Naweza muachia afu binti na akawa hajampenda, pale kwake nako kaegesha TU.

Zile dharau alizomuonyesha Ni wazi hampendi, maana Angelikua anampenda angemsitiri japo kidogo mbele ya mwanaume mwenzie Mimi.

Na sio kumsukuma na kumfokea kana kwamba ni takataka kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani haujui mnyambuliko wa series zako mkuu na kwanini ulianza kumdunga huyu wakati ni ndg na mchepuko Mama J
Nadhan Kuna Uzi ulikupita,
Nilishawahi kuleta kiss chake humu mbona.

Ni kwamba mamaj alishaanza kuonesha viashiria vya kutaka kuniacha moja kwa Moja kwa mbebwe, nami nikaona nijiandae kwa backup ya kisasi Cha Nguvu kitakachoumiza Sana nafs yake.

Ndo nikaamua kutembea na mdg wake kusudi, ili MDA wwt akimwaga mboga namm nimwage ugali. Nihamie kwa mdogo wake rasmi.

Bahat nzur ule mzozo uliisha nikajikuta siwez Tena kumuacha mamaJ, na uyu tayar tushaanza kulana sana vya kutosha. Kwaiyo nae kumuacha haraka kisa tumerudiana nikashindwa.

Ikabd niendelee nao wote wawili [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mtu atafune meno yangalipo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nadhan Kuna Uzi ulikupita,
Nilishawahi kuleta kiss chake humu mbona.

Ni kwmaba mamaj alianza kuonesha viashiria vya kutaka kuniacha kwa mbebwe, nami nikaona nijiandae kwa backup ya kisasi Cha Nguvu kitakachopatikana nafs yake.

Ndo nikaamua kutembea na mdg wake kusudi, ili MDA wwt akimwaga mboga namm nimwage ugali.

Bahat nzur ule mzozo uliisha nikajikuta siwez Tena kumuacha uyu, na tayar tushaanza kulana vya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi najua bali nilikuwa namsemea huyo binti aliyeuliza
 
Ujue uyu nilikua nae TU bahat mbaya,
Ilkua Kama kumkomoa mamaJ maana tulikua na ugomvi flan hivi anajimwambafai Sana mamaJ

Ndo hivo tukajikuta kwny mahusiano ya kulana kiwiziwiz TU.


Binti mwnyw anajua anamuibia dada ake, ndo maana Yuko very careful

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah ndo kwa mdogo ake baba J 😀😀ko saizi mama J anajua kuwa umempangia chumba mdogo wake
 
Ni bora huyo kijana aumie kwa muda ili apate mtu sahihi.
Mimi ukinikana usitegemee nikurudie kamwe.
Nikiangalia kwa makini,
Uyu kijana na uyu binti hawaendani kabisa.
Mbaya zaidi binti anajiamini Sana Kias cha kumcontrol na kumtukana navyotaka.

Kwanza kitendo Cha kijana kudondoka choz mbele ya binti Ni kosa kubwa Sana Binti ndo maana anakiburi chote kile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora huyo kijana aumie kwa muda ili apate mtu sahihi.
Mimi ukinikana usitegemee nikurudie kamwe.
Na hayo ndio maamuzi ya kiume, imagine mwanamke umeshampeleka hadi kwenu lakini anaanacheat hadi mbele yako tena kwa dharau kubwa namna hiyo

Sema huyo binti atakuja kujuta akifika 30+ maana atajikuta hana pa kushikilia
 
Jamani baba J huogopi mama J akija kujua 😀😀😀sema we ni mchepuko mzuri unaprivide vizuri tu mpaka raha😅
sema kama ni kweli jamaa ana mihela mingi au ni smart ana gari kali kama range hivi.....tutafute hela kwakweli au basi
 
Back
Top Bottom