Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Baba G
Pond himself again
Mkuu hongera kwa kuonyesha ukomavu mbele ya dogo
Binti hawez kukutosa wala kumtosa mwamba hapa saizi wanabembelezana huko
Pia wwe kwake ni sponsor ndio mwenye kisu kikali 4 now
Wwe kama tuu muda utasema mkuu
Kiukweli Kijana yule anaonekana kuumia Sana,
Nadhan tayar alishajikabidhi vyote vya mwilini mwake Moyo,maini,figo firigisi na bandama kwa binti husika bila kujua binti mwnyw Ni fedhuli tu wengine mpk tumemfanya wa kupozea TU nyege zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza Kama Mimi
Alafu majuto yake ni makubwa mno
Kwa ninavoona malalamiko ya humu kuhus michepuko inaonesha pia ubovu wa akili zao kiwango Cha akili Cha michepuko yao kilivo Cha ovyo ndo kilivyo Cha kwao

Mnasema mwanamke mmoja hatoshi na pia Wanaume wengi wanachepuka huo ndo ukweli lkn unachepuka kwa misingi ipi je huyo unachepuka nae anaweza kukurespect anajali afya yake ili hata siku ukiamua uongeze awe mke anakidhi vigezo lkn wanaokota okota tu stress tupu
Sio kweli bhana,
Mimi Kwnyw circle yangu nnao wanawake watatu TU.
Sijafikia hata robo ya nyayo za nabii suleimani au baba wa imani ibrahimu[emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Kijana yule anaonekana kuumia Sana,
Nadhan tayar alishajikabidhi vyote vya mwilini mwake Moyo,maini,figo firigisi na bandama kwa binti husika bila kujua binti mwnyw Ni fedhuli tu wengine mpk tumemfanya wa kupozea TU nyege zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asije akala kitanzi
Manake umri huo hauna reasoning kubwa
 
Kumwambia hapana .. wanaume nyie mna pride
Kwa nini usimpange huyu mchepuko mdogo ?

Usikute na yeye kafall in love kwako ndo maana hamuelewi huyo kijana [emoji23].
Sio kampenda pond,pond anatoa huduma,kijana inaonyesha hana pesa ya kutosha.wanawake wana tamaa hivyo anaona awe na pond ili maisha yawe nafuu.
Sema kakijana kapole,angekuta kijana mkorofi kingeeleweka. Mapenzi hayana mbabe.
 
Sio kampenda pond,pond anatoa huduma,kijana inaonyesha hata pesa ya kutosha.wanawake wana tamaa hivyo anaona awe na pond ili maisha yawe nafuu.
Sema kakijana kapole,angekuta kijana mkorofi kingeeleweka. Mapenzi hayana mbabe.
Kweli Mkuu
Pesa ni kitu kingine kabisa , akiangalia huyo jamaa hana pesa wala nini .. anamdharau .
 
Back
Top Bottom