Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116]

NI HIVI,
Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae mdg wake na mamaJ.

Uyu Binti mahusiano yangu na yeye yapo yapo TU kwa msimu, sometimes ON sometimes OFF
Yaan kwa mwez tunaweza kuonana Mara 1 au Mara 2 tu kufanya na kuondoka zetu. Mawasiliano yetu sio kiviiile Sana labda akiwa na shida shida zake binafs ndo huwa ananitafuta.

Nakumbuka nilishawaambia nilishamhamisha hostel na kwenda kupanga chumba mtaan jiran na chuo.
Kumbe Sasa chumba kile akawa anashea na Binti mmoja wauko kwao mkoani kabila moja wanachangia kila kitu.

Baadae akanambia anahitaj MDA mwingi wa kua na mm, ila Sasa ile kua tunakutana lodge kila Mara na namuachia posho yake tukiwa lodge baada ya tendo anajihisi Kama anakua anajiuza tu kwangu, hapendi ile kitu kabisa.

Nikamwambia najua upendi ndio, ila Ndo hivo haina jins mi chumba kwako pale siwez kuja ukzingatia unaishi na mwenzio pale. Akasema anaomba kuhama pale atafute chumba kingine mtaa mwingine ili niwe nakwenda kwake kwa Uhuru maana ananimiss Sana. Na yeye anahitaj MDA wakua na mimi. Nikasea sawa.

Mwezi wa 3 mzima wote tunatafuta nyumba, na hatimae ijumaa ya juz asbh kanifahamisha kwamba kapata chumba kimoja kizur kina choo ndani anataka akanionyeshe. Nikamwambia saa 10 nikishafunga ntakuja Uko.

Sasa kutokana na ubize mwing, kapiga sim sn sijaipokea. Nikajisemea uyu msumbufu tu nikimaiza ratiba zangu ntaenda kwake. Kwanza Haina ulazima Sana leo.

Nmemaliza ratiba zangu saa 12 nikasema hebu nimpigie nimfahamishe, hajapokea sim. Nikaona niende Moja kwa Moja kwake. Nmefika saa 1 usiku nmepaki mbali kidg napiga sim haipokelewi. ikabd niende mpk penyewe nikagonge mlango wa chumba maana naona Uko wazi.

Nmefika nmegonga kaja mlangoni kapiga pazia kastuka sana kuniona. Ananambia kwa hofu karibu ndani, nmeingia ndan namkuta kijana kakaa kitandani kashika Simu ya Binti. Mi Nikakaa zangu kwenye kistuli kisha Nikamwambia anipe maji ya kunywa nna kiu.

Kamaliza kunipa maji nikainuka na glass yake nikatoka nayo nje Nikamwambia,
"Nakuja mara Moja nmesahau kupandisha vioo vya gar" nikaondoka kuelekea kwny gar. Kufika kwny gar nikataka kuondoka zangu moja kwa Moja. Nikaona utaua ujinga huu, hawani kwenda nao hivyo hivyo tu.

Baadae nikarud,
Nmesimama mlangoni naskia wanalaumiana uko ndani Binti anamshinikiza kijana aondoke pale, kijana anakataa Akitaka kujua Mimi Ni Nani kwake. Binti anamwambia Mimi Ni mjomba wake aondoke HARAKA asije mletea kesi nyumban kwao. Maana yeye hatambuliki.

Baadae nikaona Hapa tunapotezeana tu MDA, nikaingia nikiwa serious.
Nikamwambia binti jiandae haraka twende Sina MDA wa kupoteza. Yule kijana nikaona anatoka nje.
Mle ndani tukabak wawili mm na Binti, uku anavaa haraka haraka. Kamaliza tumetoka tunaondoka namuona yule kijana kakaa kubarazan kainamisha kichwa chini Yuko na mawazo mengi.

Tumeondoka pale tunaelekea lilipo gar nikamuona kijana kwa mbali anafata nyuma nyuma. Tumeingia kwny gar tunapiga reverse. nikamuona kijana kwa nyuma, nikamuonesha Binti
"Uyu kijana wako vipi mbona anakufata fata Sana Hadi uku"

Akasema,
"Atakua na mambo yake uyo, ujue Ni mwanachuo mwenzetu anakaa chumba Cha jirani. Alikuja kwangu kuangalia Tv anamsubir Dem wake yule nnae kaa nae pale " nikasema "sawa". Japo najua uyu kanidanganya.

Tumeenda tumeiona nyumba nmeridhika nayo, chumba kimoja kikubwa kiasi Ila kina choo ndani. Tumeonana na mwny nyumba kasema anapokea kuanzia miez 3. Nmemuachia ya mwezi mmoja pale pale, nyingne atalipwa kesho yake. Binti kafanya usafi wa haraka haraka pale na kusema kesho yake anahamia . Na kaomba niende nikamsaidie kuhamisha baadhi ya vitu. Nikasema sawa.

Kesho yake JMosi nmeenda kwake kuhamisha vitu nikaifikisha gar mpk mlangoni KABISA. Tumeanza kusomba vitu tunaingiza kwny gar Mara yule kijana akafika anatuangalia TU. Nami kimya sijamsemesha chochote.

Nikaskia anamsemesha Binti, "rose Mambo vipi" Binti kavuta mdomo.

Kijana kamfata kamvuta mkono kwa Nguvu, Binti kakataa mkono wake na kusukumizia kule kijana kaanguka chini. Kijana kainuka kapukuta suruali akaja kwa hasira kama anataka kumpiga binti. Ikabd kuingilia Kati.
Nikasimama kati yao Binti na kijana bila kusema chochote kile. Nikimkazia macho kwa umakini sana kijana nione atamfanya nn binti pale.

Nikaona kijana kashuka jazba na kwenda kukaa zake kibarazani akipiga simu uku kainamisha kichwa chini analia. Nahs kuna mtu alkua anamfahamisha kwann Rose anamfanyia vile, kaleta mwanaume pale nyumban na Kama alikua hampendi Si angemwambia kuliko alichomfanyia. Binti yuko kimya kavuta mdomo uku anasomba vitu vyake, nami sikutaka kuingilia ugomvi ule nikaendelea Kupanga vitu kwny Gari anavyoleta mchepuko.

Tumemaliza kusomba vitu, tumeingia kwny gar, ikabd nimuulize Mchepuko.
"Ebu kwanza weka sawa ayo mambo yako na uyu kijana, naona analia Sana pale. halijakaa sawa Hili"

Mchepuko akalalamika, Basi ubishi ukawa ubishi mle ndani anasema Hana mahusiano nae, nikasema isiwe kesi ngoja nikakague upepo kwny tairi za nyuma tuondoke. Nmetoka nje namuona kijana kasimama nyuma ya Gari kimya kaniangalia TU macho mekundu.

Kuna mda wazo likaniijia nkkataka kijana nimsemeshe nipate mawili matatu, ila Kwasababu Binti nmemuacha Kwny gar na keshapanik nilipomuomba habar zile.ikabd nipotezee.

Nmekagua tairi zote Kisha nikaingia Kwny Gari na kuondoka eneo lile, kijana namuona kwny side mirrors kaiangakia Gari mpk inaishia kwenye Kona.

Nmefika kapanga vitu vyake, tumefanya ya kufanya Kisha nikamuomba anifatie vocha duka la jirani. Alipotoka nmechukua Simu yake nmekagua nmekuta sms lukuki za uyo kijana. Nikaforwad zote kenye Simu yangu pale pale.

Nmetulia nmezisoma nmegundua kweli yule kijana anamahusiano nae, ila hayana mda mrefu Sana. Na wiki moja nyuma wametoka hospitali kupima afya zao na siku tatu nyuma kijana keshatoka kumtambulisha uyu binti kwao. Kijana alimpeleka binti TANGA kumtambulisha.

Yule mtu kijana alokua anampigia Simu kulalamika pale tulikohama siku I'll ya ugomvi wao kumbe ni yule Binti wanaeishi nae pale walikohama. Kuna sms bint anamuuliza uyu kilichompata, kijana yule kampa taarifa. Ila Mchepuko hakuijibu iyo sms.

Tumemaliza kufanya, nmemuachia ya miez 2 ilobaki na elayake ya kula. Kisha nmeondoka zangu bila kumuuliza chochote Tena yule mchepuko wang khs yule kijana. Nikaendelea na ratiba zangu.

Sasa baada ya hapo vitu kibao vikawa vinanijia kichwan mwangu

1. Uyu Binti anakwepa nn kuweka wazi mahusiano na kijana yule.Inavoonekana labda hajampenda au ananihofia mm au vipi.
Mbona akisema mi sina tatizo namruhusu TU maana kiukweli pale mm nmeegesha TU. Hana maajabu Sana yule.[emoji848]

2. Walikofikia na kijana mbona palikua hatua kubwa Sana, Binti anakwenda kurisk mahusiano yake serious na kuegemea kwangu wkt anajua Niko na dada ake tayar na yeye anajijua Ni wakupita.[emoji848]

3. Uyu kijana nimsaidieje maana najihisi Kuna namna nmemkosea sana, na anaonekana alikua na malengo Sana na binti.[emoji848]

4. Kuna MDA akili inanambia laiti Kama kijana uyu angekuja kunambia live anaomba nimuachie uyu binti, ningemuachia TU kiroho Safi aendelee nae. Maana binafs najijua pale nmeegesha TU kwa dharura. Sina mipango nae yoyote ya MDA mrefu.

Ila sasa Kuna akili inanambia hata nikimuachia, Kama binti mwnyw hamtaki na anamuonyeshea hadharani itakua nmefanya Ni kazi bure. Binti mpk sahv anakana kwangu katukatu Hana mahusiano nae.[emoji848]

5. Au Nimuache TU kijana mwnyw apambane na Hali yake[emoji848]

Karibuni Sana kwa USHAUR[emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni summary, je ungeamua kuandika kila kitu!!? 😂
 
Serious kabisa,
Sina mpango nae nmeegesha TU pale.

Sasa namsaidiaje kijana, nimfate Mimi nimwambie nmemuachia?

Aaah iyo hapana mbona, itakua dharau kubwa Sana iyo[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumwambia hapana .. wanaume nyie mna pride
Kwa nini usimpange huyu mchepuko mdogo ?

Usikute na yeye kafall in love kwako ndo maana hamuelewi huyo kijana [emoji23].
 
Jamani baba J huogopi mama J akija kujua [emoji3][emoji3][emoji3]sema we ni mchepuko mzuri unaprivide vizuri tu mpaka raha[emoji28]
Kweli kabisa, Baba J anajua kuhudumia
Mtu anasahau kama yeye ni mchepuko kabisa .
 
Kwamba wewe una bahati sana ya kuwafumania michepuko yako?. Au inajiachia sana. Au unatuleteaga chai we njemba?. Maana kila wanachokifanya against you unakinyaka. Huyo mmekubariana kukutana siku hiyo iweje tena siku hiyo hiyo tena masaa yasiyo mengi ya kukusubiria wewe avute mchepuko mwingine?. Kwamba mipango yao iko less au ni vipi
Relax kwanza, Hakuna fumanizi pale mkuu
Inavoonekana Yule kijana anaishi pale pale Ila vyumba tofaut, na wanamahusiano

Na huenda mwanamke hakutegemea ningekuja MDA ule ule. Na sio kawaida Mimi kuja na kufika mpk chumban kwake.

Ni Mara mbili TU nmeingia kwake,
Mara ya kwanza Ni kipind anahamia pale tunampelekea vitu na nyingine Ni Valentine day mwaka huu TU.

Mara nyingu
Huwa naishia TU barabarani, kuongea nae kwny gar na kuondoka.

Kilichotokea pale,
Hata yeye mwnyw hakukitarajia, but nilimchukulia normal maana yule kwa umri wake (20yrs) ndo wkt wake wa kuruka ruka[emoji4]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha roho ya unyanganyi na ubepari Kuna siku utaingia kwa wendawizimu na vichaa afu itakukosti ustume nguvu ya pesa kufanya unyanganyi uyo demu kiroho safi muachie dogo wa chuo.
 
Jamani baba J huogopi mama J akija kujua [emoji3][emoji3][emoji3]sema we ni mchepuko mzuri unaprivide vizuri tu mpaka raha[emoji28]
Ujue uyu nilikua nae TU bahat mbaya,
Ilkua Kama kumkomoa mamaJ maana tulikua na ugomvi flan hivi anajimwambafai Sana mamaJ

Ndo hivo tukajikuta kwny mahusiano ya kulana kiwiziwiz TU.


Binti mwnyw anajua anamuibia dada ake, ndo maana Yuko very careful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha roho ya unyanganyi na ubepari Kuna siku utaingia kwa wendawizimu na vichaa afu itakukosti ustume nguvu ya pesa kufanya unyanganyi uyo demu kiroho safi muachie dogo wa chuo.
Uyu Dogo kanikuta tayar mkuu,
Mi ndo nmemtangulia, Sema Dogo mwnyw hajui.

Ni kwasbaabu TU mi uyu mwanamke Ni wangu wa dharura tu na sikumkeep bize Kias Cha Dogo kujua nna mahusiano nae waziwazi tangu wanzo.

Unaposema nmefanya unyang'anyi unakua unanionea Sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa. Kukua siyo kuongeza umri tu, bali uwezo wa kufanya maamuzi sahihi yanayotatua vema changamoto unazokutana nazo. so, let them be.
Kabisa,
sikupingi mkuu.
Dogo anapaswa ajue anakutana na wanawake wa Aina gani.

inavoonekana Dogo alikabidhi Moyo wake moya kwa moja kwa mwanamke asiye sahii kwake kutokana na malengo yake ya kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi huu

Mume michepuko kadhaa...michepuko ina michepujo na main zao

Michepuko ya michepuko ina michepuko...na main zina michepuko

Yaani ikikosekana ngoma, homa ya ini haichezi mbali
Umewaza Kama Mimi
Alafu majuto yake ni makubwa mno
Kwa ninavoona malalamiko ya humu kuhus michepuko inaonesha pia ubovu wa akili zao kiwango Cha akili Cha michepuko yao kilivo Cha ovyo ndo kilivyo Cha kwao

Mnasema mwanamke mmoja hatoshi na pia Wanaume wengi wanachepuka huo ndo ukweli lkn unachepuka kwa misingi ipi je huyo unachepuka nae anaweza kukurespect anajali afya yake ili hata siku ukiamua uongeze awe mke anakidhi vigezo lkn wanaokota okota tu stress tupu
 
Kabisa,
sikupingi mkuu.
Dogo anapaswa ajue anakutana na wanawake wa Aina gani.

inavoonekana Dogo alikabidhi Moyo wake moya kwa moja kwa mwanamke asiye sahii kwake kutokana na malengo yake ya kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah!

Inabidi apate somo kwa vitendo.

Kwahiyo kausha, endelea kujichapia.
 
Baba G
Pond himself again
Mkuu hongera kwa kuonyesha ukomavu mbele ya dogo
Binti hawez kukutosa wala kumtosa mwamba hapa saizi wanabembelezana huko
Pia wwe kwake ni sponsor ndio mwenye kisu kikali 4 now
Wwe kama tuu muda utasema mkuu
 
DeepPond amemsaidia huyo kijaba kumjua vizuri mwanamke anye taja kumuoa ni wa tabia gani.

Kijana akitumia akili atamshikuru mdau amemuokoa na majanga makubwa ya baadaye.
Kwa jinsi nilivosoma utitiri wa sms zao wanazochati.

Uyu kijana na uyu binti hawaendani kabisa, Sema ndo hivyo Moyo wa mtu ukishampenda mtu ni kichaka.

Uyu kijana anaonekana Ni mtu wa Misa, afu msabato. Kila jumamosi anaratiba ya kwenda kusali. Kabla hajalala anaratiba ya kusali na kuombea penzi lake.

Ila Sasa binti mwenyewe Ni mzee wa Pombe, sijawahi kuskia ata siku Moja akiongelea habar za ibada au kwenda kusali.

Yaan Ni anaishi kipagani Pagani TU Kama Mimi[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom