Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mimi huwa najitahidi sana kwa asilimia zote kumheshimu mtu akiwa mpenzi wangu lkn dharau sijui kuzivumilia.Na hayo ndio maamuzi ya kiume, imagine mwanamke umeshampeleka hadi kwenu lakini anaanacheat hadi mbele yako tena kwa dharau kubwa namna hiyo
Sema huyo binti atakuja kujuta akifika 30+ maana atajikuta hana pa kushikilia
Huyu dogo bado sana huyo binti sio size yake