Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Inabidi umjali tu
Shower her with gifts , money etc
Tinsley kuna warembo wanajua kujitoa hadi unakosa kitu sahihi cha kumpa.

Nina kisa flani ameizing basi tu sipendi kumwaga kila kitu hadharani daah.
Yule dada mmmh...uzuri hatakaa anisahau daima[emoji38]
 
Aiseeee....
 
Wow huyo mrembo balaa .. walijifunzia wapi wenzetu [emoji23][emoji23].

Inaonekana na wewe mtoaji pia
 
Wow huyo mrembo balaa .. walijifunzia wapi wenzetu [emoji23][emoji23].

Inaonekana na wewe mtoaji pia
Sijisifu zangu zikiwepo za kutosha huwa najitahidi kutoa sio kuhonga kutoa means kwa kila jinsia.

Uzuri kuna mashahidi humu
 
Aiseeee....
Serious nakwambia mkuu, mamaJ Ni exceptional.

Hapa Katikati nishamcheat Sana kutafta mbadala wake aache kunizingua nimefeli Moja kwa Moja.

Naishia kua na utitiri wa mahusiano ya ovyo ovyo ya kuniacha na shombo.

Mwisho wasiku siridhishwi narudi pale pale square one kwa mamaJ kukituliza kidudu changu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…