Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Tatizo Naweza muachia afu binti na akawa hajampenda, pale kwake nako kaegesha TU...
Hapo ninachokiiona nikwamba, huyo binti anakuhitaji sana wewe kuliko wewe unavyomuhitaji, pia ile hali yakumuhudumia kama mke wako nayo nichangamoto.

Mbaya zaidi huyo kijana wa kiume aliyeenda kumtambulisha ndipo alipofeli mapenzi ya chuo yanahitaji uwe smart sana kwa vijana wanasoma..., madem wengi wa chuo ni malaya aka wadangaji tuu
 
Ndio hivyo tena baada ya muda waliachana na bint alitaka tuludiane ila mwamba nikakaza japo mpaka leo ananitafutaga ananambia anajutia makosa yake ila sioni sababu ya kumpa nafasi tena kwangu. Nilitaka ajutie makosa yake
Msamehe bhana na maisha yaendelee, usiweke vinyongo mkuu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ninachokiiona nikwamba, huyo binti anakuhitaji sana wewe kuliko wewe unavyomuhitaji, pia ile hali yakumuhudumia kama mke wako nayo nichangamoto.., mbaya zaidi huyo kijana wa kiume aliyeenda kumtambulisha ndipo alipofeli mapenzi ya chuo yanahitaji uwe smart sana kwa vijana wanasoma..., madem wengi wa chuo ni malaya aka wadangaji tuu
Umenena vema kabisa mkuu, binti bado wamoto Sana uyu kufanya nae commitment ukzngatia kijana mwenzie nae Ni mwanafunz bado.
 
Ha ha ha ...mahela yatoke wapi mkuu,
ela ya kula na kunywa tu IPO ili watu wasife

Ila sio Ela ambayo Unaweza kaa kwa watu ukasema unahela watu wakakuelewa.

Kikubwa Ni ule moyo wa kujitoa TU, mtu anaweza kukutafsiti unahela Sana kumbe sio.

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀unajitoa kwa watu wote au kwa wale unaowadinyua
 
Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116]

NI HIVI,
Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae ni mdg wake na mamaJ...
Me naona uendelee, na huyo jamaa anaendelea kwa wakati wake. Atakaebanwa na kiatu atakivua
 
Umenikumbusha Bro mmoja hivi. Boss mkubwa tu kwenye hizi financial Institutions.

Mzee Wa michepuko kwa sana tu hivi vibinti vya chuo anavitafuna Balaa. Kuna Dogo alikuwa na mahusiano na kademu kake afu Bro naye akawa anapewa tunda. Siku anamfata Binti chuoni akamkuta na huyu Dogo afu Binti akamtolea mbovu sana Bwana mdogo alivyojaribu kumng'ang'ania asiondoke na Bro.

Kumbe Bro kile kitendo kilimuuma sana kuona mwanaume mwenzake anadhalilika kwa sababu yake, akaondoka na Binti mpaka Hotel room wakafanya yao lakini akafanya makeke akapata namba ya Bwana Mdogo kwenye simu ya Binti. Alipomtafuta Dogo akampa details zote, Walikuwa mwaka Wa mwisho, na tayari alishamtambulisha Binti kwa wazazi wake.

Bro akamwambia achana naye huyo amekudharaulisha sana. After final Exams Bro akamuunganisha Dogo kwenye Ajira na akamweka very close, na Binti wakamtema wote. Bro akageuka mentor Wa Dogo kuanzia kazini mpaka kwenye mambo ya mahusiano, kwenye ndoa yake Dogo Bro akahakikisha anaisimamia kila kitu kiwe Sawa.

Binti mpaka Leo anajutia. Alikuja kupata kazi za customer service Voda analalamika tu haina maslahi.
 
Ha ha ha ...hakika dada angu,

kijana apambane TU na Hali yake, akifanikiwa kumtuliza binti Mimi POA tu nitakaa pembeni nimuachie

Alishindwa asubirie TU wa levo yake


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio asubuli tu wa level yake ... Haiwezekan mahusiano ya week ety ampende kias hko hadi kulia.....inashangaza sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hapo kiongozi ni mda wa kurudi kwa yule shemeji yako aliye kulaumu kwenda kwake na mama j mrudie utafune sasa ndioda wa kumuachia huyo dogo zigo we rudi kulee kampige vyupa kisha jilie kiuraini
 
Hiyo issue broo iliwahi kunikuta nikiwa form six mpaka bint alijulikana home na me pia walinijua kwao ila kilichofuata ni kama jamaa angu hapo majonzi kama yote.

Kwakumalizia niliponea chupuchupu kufeli
Daaah we jamaa kama vile unanizungumzia Mimi, mtoto wa kirangi alinipeleka kama gari bovu nikaambulia div iii form 6, huku mzee wa madini (mererani) anamrudisha huyo manzi na gari anampa laki wakati huo hata elfu 10 nashindwa kumpa.

Hahaha daaah haya maisha kuna njia tunapita zinatufunza tunakuja kuwa na mioyo migumu, mpaka kuna muda namuonea huruma wife, sababu siwezi ingia miguu yote tena ni mwendo wa mguu m'moja ndani mwingine nje.
 
Nimekuwa nikisoma unavyoviandika kuhusu wewe mwenyewe, pengine nikuambie jambo kuhusu hili. Kama unahisi unaweza kumpata huyu mshikaji, mtafute kaa naye kiume muelekeze kuhusu kilichotokea na namna huyo dem asivyokuwa na adabu in a very friendly way.

Ikibidi, mfanye awe rafiki yako na jaribu kumuwezesha kiuchumi(mfanyie mpango kwa wanao apate kazi aweze kujimudu kiuchumi). Ninaamini una kitu ambacho kinaweza kumuokoa huyu jamaa. Punguza majivuno ya kipumbavu ambayo umekuwa ukijivuna nayo.
 
Yah! Picha inaweza kua kubwa kuliko uhalisia

Kuna jamaa humu aliwai nifata pm akinitusi sana et kaona mtu wake kazidisha mazoea Sana na mm kwenye nyuzi zangu, eti nipunguze kujidai Sana.

Nikamuuliza wapi nmejinadi, eti mtu wake keshaona mm nna Ela Sana. Nisije haribu mawmhusiano nae.

Nmemuuliza Ni Nani kamtaja, nikaja mfata pm mwanamke nikagundua ni mke wake kabisa wa ndoa na wote wako humu humu jf.

Aisee,
Nilisikitika Sana, mwanamke pia alimshangaa jamaa yake wivu ule. Ila akaniomba radhi nimvumilie ndivyo alivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] aisee

Jamaa alifeli sana anashindwa kuongea na mke wake huko anakufata wewe kukupiga biti unahusika vipi sasa? Au anaona wivu kwa namna unavyohudumia kina mama J yeye huduma zinamshinda anaona utamuibia [emoji23] pole kwake
 
Duh!chozi la kijana litamfuata Rose Siku zote....ktema big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Nimekuwa nikisoma unavyoviandika kuhusu wewe mwenyewe, pengine nikuambie jambo kuhusu hili. Kama unahisi unaweza kumpata huyu mshikaji, mtafute kaa naye kiume muelekeze kuhusu kilichotokea na namna huyo dem asivyokuwa na adabu in a very friendly way.

Ikibidi, mfanye awe rafiki yako na jaribu kumuwezesha kiuchumi(mfanyie mpango kwa wanao apate kazi aweze kujimudu kiuchumi). Ninaamini una kitu ambacho kinaweza kumuokoa huyu jamaa. Punguza majivuno ya kipumbavu ambayo umekuwa ukijivuna nayo.
Wapi nmejivuna kwny Uzi huu mkuu[emoji848]
Uyu kijana Ni mwanafunz mwenzie, namuwezesha vip wot bado anasoma[emoji848]
 
Back
Top Bottom