Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Italian Serie A Roundup, Jan. 22


storypage_APlogo_01.png







2 comments »

Updated Jan 22, 2011 6:14 PM ET
MILAN (AP)

Back in the lineup, Francesco Totti inspired Roma with the opening goal in a 3-0 win at home over Cagliari in the Serie A on Saturday.
Earlier in the week he sat out the 2-1 win against Lazio in the Italian Cup.
The Roma captain converted a penalty and kept Cagliari's defense occupied for the rest of the match.

Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats

''We are playing a lot of games - one every three days - and that is hard for the players,'' Roma coach Ranieri said. ''We are having to chop and change, but the results speak for themselves.''
Roma rose to provisional second in the standings, one point above Napoli and three behind AC Milan, both of whom play on Sunday.
Simone Perrotta grabbed the second goal in the 70th when he was first to the ball after Cagliari goalkeeper Michael Agazzi spilled it in the box.
Substitute Jeremy Menez added a third in second-half stoppage time. He ran through Cagliari's defense before bamboozling Agazzi and stroked the ball into the empty net.
''I had to tweak things at the start of the first half because we were leaving too much space down the wings,'' Ranieri said, ''but we worked extremely hard, especially our midfield.''
Cagliari began the stronger and in the seventh minute Roma goalkeeper Julio Sergio had to acrobatically push Andrea Cossu's powerful shot over the bar.
Robert Acquafresca then forced Sergio into a low save.
Roma won its penalty when Michele Canini was adjudged to have pulled Daniele De Rossi down as he was trying to reach Totti's cross.
Totti smashed the penalty straight down the middle for his third goal of the season.


It boosted Roma's confidence and Ranieri's team stayed in control for the rest of the half. Shortly before halftime Agazzi had to react quickly to stop Marco Borriello from doubling the lead.
De Rossi came close to adding to the score in the 69th, but Agazzi pushed his powerful drive away.
From the corner, though, Agazzi's error presented Roma with its second score. The goalkeeper failed to hold Juan's header and Perrotta poked the rebound in from close range.
Agazzi recovered to stop Totti from scoring a second, when he dived low to push his shot away after Totti shaped to cross to Mirko Vucinic.
In injury time, Philippe Mexes hit the top of the bar with a header, but it was his fellow Frenchman Menez who grabbed the third as his fresh legs allowed him to get away from the tiring Cagliari defense to score.
''Roma is among four or five clubs that can win the title,'' Ranieri said. ''AC Milan and Inter Milan are the favorites. We have to fight to compete with them, but it will be fun.''
Palermo kept up its pressure on the European places with a 1-0 win over Brescia, but needed a late goal from Cesare Bovo to secure the win.
Parma also won. Antonio Candreva and Sebastien Giovinco scored in the 56th and 62nd to secure a 2-0 victory over Catania in Diego Simeone's first match since taking over as coach of the Sicilian side.



PRINT RSS




Member Comments

Please note by clicking on "add a comment" you acknowledge that you have read the Terms of Use and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator.
LOG IN TO ADD A COMMENT Page 1 of 1 PREV PREV NEXT NEXT


Post Comment


  • Report Abuse ScribbleyDoibus
    • 1/23/2011 12:36:01 AM
    first Roma game i was able to catch in months. They looked good, esp Totti he was even hustling for loose balls (almost) and we'll see if they can keep up the pressure on Milan. still a long way to go
  • Report Abuse Diosesdel10
    • 1/22/2011 9:59:41 PM
    menez's goal reminded me of el Fenomeno
 
Italian Scoring Leaders


storypage_APlogo_01.png









Updated Jan 23, 2011 4:54 PM ET
MILAN (AP)

Leading scorers after Sunday's games in the Serie A (penalties in parentheses):
Antonio Di Natale, Udinese, 15 (2)
Edinson Cavani, Napoli, 14
Marco Di Vaio, Bologna, 13
Samuel Eto'o, Inter Milan, 12 (3)
Zlatan Ibrahimovic, AC Milan, 12 (2)
Alessandro Matri, Cagliari, 9 (1)
Fabio Quagliarella, Juventus, 9
Sergio Floccari, Lazio, 6
Marco Borriello, AS Roma, 9 (1)
Alexandre Pato, AC Milan, 8
Javier Pastore, Palermo, 8
Sergio Pellissier, Chievo Verona, 7 (1)
Alberto Gilardino, Fiorentina, 7
Marek Hamsik, Napoli, 7 (1)
Josip Ilicic, Palermo, 7
Hernan Crespo, Parma, 7 (2)
Robinho, AC Milan, 6
Mirko Vucinic, AS Roma, 6 (1)
Giampaolo Pazzini, Sampdoria, 6 (2)
Andrea Caracciolo, Brescia, 5 (3)
Maxi Lopez, Catania, 5 (1)
Erjon Bogdani, Cesena, 5
Diego Milito, Inter Milan, 5
Dejan Stankovic, Inter Milan, 5
Vincenzo Iaquinta, Juventus, 5
Hernanes, Lazio, 5 (1)
David Di Michele, Lecce, 5
Ezequiel Lavezzi, Napoli, 5
Mauricio Pinilla, Palermo, 5
Sebastian Giovinco, Parma, 5
Stefano Guberti, Sampdoria, 5
Alexis Sanchez, Udinese, 5
 
Sauti za Busara kutambulishwa leo


na Andrew Chale


amka2.gif
TAMASHA la muziki la Sauti za Busara ambalo mwaka huu litafanyika kuanzia Februari 9 hadi 13 Ngome Kongwe Zanzibar, leo linatarajiwa kutambulishwa rasmi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi kwa njia ya simu kutokea Zanzibar, mratibu habari wa tamasha hilo, Aliko Mwakanjuki, alisema kuwa tayari maandalizi yote yameishakamilika na hatua za kupokea wageni mbalimbali watakaoshiriki zikiwa zinatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa.
"Watanzania na wageni mbalimbali wakae mkao wa kula kwani kila kitu kimeishakamilika na tunatarajia kufungua rasmi tamasha letu kwa wadau na kuongea na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam," alisema Aliko.
Aidha, kwa upande wake, mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuph Mahmoud, alisema tamasha hilo ni chachu kwa wananchi wa visiwa hivyo kutokana muingiliano wa wageni mbalimbali wanaofika kutembelea maonyesho hayo na kuongeza kipato.
"Sauti za Busara itaendelea kuongeza changamoto mbalimbali sambamba na kuiongezea nchi kipato, kwa wafanyabiashara kunufaika kutoka kwa wageni watakaokuwepo siku zote za tamasha," alisema Mahmoud.
Makundi yatakayoshiriki mwaka huu ni pamoja na Jahazi Modern Taarab, Twanga Pepeta na Mlimani Park Orchestra, Wanyambukwa Artist, Jagwa Music na Nyota Kali Band (Tanzania).
Mengine ni Kwani Experience (Afrika Kusini), Culture Musical Club, Bi. Kidude, Maulidi ya Homu ya Mtendeni, Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta (Zanzibar), Bismillah Gargar (Kenya), Djeli Moussa Diawara (Guinea), Yaaba Funk (Uingereza) na mengineyo.
 
Parapanda Arts kuboresha bongo fleva


na Makuburi Ally


amka2.gif
KUNDI la Parapanda Theatre Lab Trust liko katika mpango wa kuuboresha muziki wa kizazi kipya ‘Bongo fleva' ili uwe katika kiwango cha juu zaidi ya ilivyo sasa na kuwa tofauti na Marekani na nchi nyingine.
Akizungumza katika Jukwaa la Sanaa, kwenye ukumbi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa kundi hilo, Mgungwa Mwamnyenyelwa alisema, uboreshaji wa muziki huo utafanyika kwa kuongeza utundu zaidi katika mpangilio wa mashairi.
Mwamnyenyelwa alisema, katika harakati hizo wameunganisha nguvu na mwananamuziki mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya ‘AY' ambaye wanamshirikisha ili kuanza kuwavuta taratibu wengine wa miondoko ya vijana walioko hapa nchini.
Aidha, Mwamnyenyelwa alisema, katika muendelezo wa harakati zao za kuendeleza sanaa ya mashairi na tamthilia, wameandaa maonyesho ya kazi zao zitakazofanyika Januari 28 hadi 29 katika kituo cha utamaduni wa Urusi na wamejipanga kukutanisha shule tano za sekondari za jijini Dar es Salaam zitakazopata elimu bure ambapo usiku wakubwa watapata elimu kupitia sanaa hizo kwa gharama ya sh 5,000.
Mwamnyenyelwa alizitaja shule hizo kuwa ni Shaban Robert, Makongo, Zanaki, Tambaza na Chang'ombe, ambapo alisema wamepangilia mfumo huo ili kuwavuta Watanzania kupenda sanaa ya mashairi na tamthilia ambazo zinafundishwa shuleni, lakini wanafunzi hawazifuatilii na kufeli masomo yao.
Alisema, pamoja na mipango hiyo, pia wamejipanga kuwa na kituo cha sanaa ambacho wamepanga kukipa jina la mtunzi nguli wa mashairi Tanzania, Shaban Robert.



h.sep3.gif


juu
 
Wasanii wa Bongo tu kupamba Kili Awards


na Khadija Kalili


amka2.gif
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager, waandaaji wa Tuzo za muziki za Kili ‘Kili Music Awards', wamesema mwaka huu watawatumia wasanii wa nyumbani katika kutoa burudani tofauti na ilivyokuwa miaka iliyopita.
Tuzo za Kili zimekuwa na utaratibu wa kupambwa na burudani kutoka kwa wasanii wa nje, siku ya utoaji wake.
Hayo yalibainishwa na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe, wakati akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya TBL, jijini Dar es Salaam jana.
Kavishe alisema, tuzo hizo zitatolewa kwa wasanii wa Tanzania ambao wamefanya vizuri kupitia kazi zao za muziki walizofanya mwaka jana.
Alisema, katika kunogesha zaidi onyesho hilo kubwa zaidi la utoaji tuzo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, wasanii waliofanya vizuri mwaka jana, tayari wametoa wimbo wao ambao waliutambulisha kwa wadau mwishoni mwa wiki na utaanza kusikika hewani hivi karibuni ikiwa ni kutambulisha zaidi kwa wadau kwamba kuna kitu kinakuja.
Alisema tuzo hizo zimepangwa kutolewa katika hafla maalumu itakayofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini, Machi 26.
Aidha Kavishe aliongeza kuwa wataendelea kufanya kazi na kampuni nne katika mchakato wa utoaji tuzo na uwezeshaji wake ambazo ni Digital Arts, One Plus Communications, Entertainment Masters na Deloite Management Consulting.
Tuzo hizo zinaratibiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), huku mdhamini wake mkuu tangu zianzishwe akiwa TBL.



h.sep3.gif

 
Ni Mwape tena


na Juma Kasesa


amka2.gif
KWA mara nyingine tena mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mzambia Davies Mwape, jana alidhihirisha anatisha baada ya kuifungia timu yake mabao mawili, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, na Wanajangwani hao kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Mwape ambaye alisajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili, amefikisha mabao matano baada ya kutikisa nyavu mara tatu katika mechi iliyopita dhidi ya AFC ya Arusha, akitanguliwa kwa ufungaji na Mrisho Ngassa wa Azam ambaye ameshacheka na nyavu mara saba.
Mwape alipachika bao la kwanza dakika ya 44, kwa shuti kali la wingi ya kulia akitumia pasi aliyopewa na Omega Seme na kudumu hadi mapimziko.
Kipindi cha pili, Yanga ambao walionekana kuelewana kila idara, waliendelea kulishambulia lango la Polisi ambako dakika ya 49, Nsa Job ambaye aliingia kuchukua nafasi ya Mbaga, alikosa bao la wazi akiwa na kipa Salum Kondo kabla ya Jeryson Tegete naye kukosa bao dakika 51 baada shuti lake kudakwa.
Mzambia huyo aliihakikishia Yanga ushindi dakika ya 80 kwa kupachika bao kwa shuti kali akiunganisha pasi ya Omega Seme na mfungaji huyo kuingia katika kinyang'anyiro cha mbio za mfungaji bora.
Kwa upande Kocha Mkuu wa timu hiyo Mserbia Kostadin Papic, alisema timu imecheza vema ingawa kuna mapungufu machache, ambayo ameyaona na yanahitaji kurekebishwa kwa haraka.
Alipoulizwa kuhusu hatima yake ya kuifundisha timu hiyo, Papic alisema, anatarajia kutoa ufafanuzi leo baada ya kukutana na uongozi wa klabu hiyo.



h.sep3.gif

 
......Manji awaonya wachezaji


na Dina Ismail


amka2.gif
WAKATI hali katika klabu ya Yanga ikiwa bado si shwari, Mjumbe wa Bodi ya udhamini na mfadhili wa klabu hiyo, Yusuf Manji jana alikutana na wachezaji wa timu hiyo na kuwataka kutojihusisha na mivutano iliyopo.
Habari zilizopatikana kutoka ndani ya kikao hicho, zinasema Manji amewataka wachezaji kutojiiingiza kwenye mvutano huo kwani kwa kufanya hivyo, kutawaathiri katika utendaji wao dimbani.
Manji aliwaeleza wachezaji kuwa hawana budi kuelekeza akili zao katika mechi zao za Ligi Kuu ya Bara kwa lengo la kutwaa ubingwa na kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa ambapo wao watashiriki Kombe la Shirikisho.
Aidha, Manji amewataka wachezaji hao kuwa wavumilivu na deni lao la usajili dhidi ya uongozi kwani muda si mrefu mambo yatakuwa mazuri.
"Pamoja na hali tete iliyopo ndani ya klabu yetu, nawaomba wachezaji mtulie na kufanya kinachotakiwa uwanjani, si mnajua mnakabiliwa na mechi za Ligi Kuu na mashindano ya kimataifa, sasa inabidi mtulie," alisema.
Kumekuwepo na msigano baina ya wanachama wa klabu hiyo kuhusiana na uwepo wa Manji ndani ya klabu hiyo kwa wengine wakiubana uongozi kuweka wazi Manji kama ni mfadhili au mdhamini kutokana na kutoa fedha na kutaka arejeshewe.
Aidha imeelezwa, Manji pia alimtambulisha Kocha Msaidizi wa timu hiyo Fred Felix Minziro ‘Majeshi' kwa wachezaji na Kocha Mkuu wa timu hiyo Kostadin Papic na kuwataka kushirikiana katika kila hali ili kuhakikisha Yanga inawapokonya Simba ubingwa, ikiwamo kufanya vema katika mechi ya awali ya kimataifa dhidi ya Dedebit ya Ethiopia.
 
Kaseja awaomba radhi mashabiki Simba SC


na Dina Ismail, Timu kuwafuata Wacomoro kesho


amka2.gif
KIPA wa Simba Juma Kaseja amewaomba radhi wanachama, wapenzi na mashabiki wa Simba kutokana
na kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu ya Bara iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Kaseja, kipa namba moja wa Simba na timu ya taifa Tanzania ‘Taifa Stars', aliyasema hayo jana baada ya Tanzania Daima kutaka maoni yake kuhusu kipigo hicho kilichowanyima mabingwa hao watetezi pointi tatu.
Wakati na baada ya mechi hiyo, wapenzi na mashabiki wa Simba wameonekana kuelekeza lawama kwa Kaseja kwamba, uzembe wake uliigharimu Simba.
Kaseja kwa upande wake amewaomba radhi wanachama, wapenzi na mashabiki, ambao wameumizwa na kipigo, akisema soka ni mchezo wa makosa, hivyo kwa bahati mbaya, juzi ilikuwa upande wa Simba.
Alisema, kipigo kutoka kwa Azam FC, kimemuumiza na kumsikitisha mno, lakini wapenzi na mashabiki wakumbuke, katika soka kuna matokeo ya aina tatu ambayo ni kushinda, kufungwa na sare.
"Imeniuma sana kufungwa na Azam, lakini ndiyo sehemu ya mchezo, hivyo iwe changamoto kwetu kurekebisha makosa ili tufanye vema katika mechi zinazofuata," alisema.
Kaseja aliongeza kuwa, mabao aliyofungwa juzi, yamekuwa funzo kubwa kwake, kwani kuanzia sasa atalazimika kuwa makini zaidi katika mechi zijazo kwenye kampeni ya kutetea ubingwa wa ligi hiyo.
Juzi, Azam walifanikiwa kulipa kisasi cha kufungwa na Simba mabao 2-1 katika mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo.
Katika hatua nyingine, Simba inatarajiwa kuondoka kesho kwenda nchini Comoro tayari kwa mechi yake ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Elan Club ya mjini Mitsoudje.
 
Serikali yalia na wanaojiita watu wa mpira


na Makuburi Ally


amka2.gif
SERIKALI imesema kwamba tatizo linalodumaza maendeleo ya soka ni uongozi mbovu wa wale wanaojiita watu wa mchezo huo ambao kila kukicha haupigi hatua kutokana na jambo hilo.
Kauli hiyo ilitolewa katika ufunguzi wa semina kwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), klabu za Ligi Kuu Tanzania bara, viongozi wa viwanja vya soka vya Sheikh Amri Abeid Arusha, CCM Kirumba Mwanza, Uhuru na Taifa katika hoteli ya Tansoma jijini jana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi.
Kozi hiyo ya siku nne inatarajiwa kufikia tamati Januari 28 imeandaliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kwa lengo la kuboresha maendeleo ya michezo hapa nchini.
Nchimbi alisema, Serikali imejipanga kukuza na kuendeleza maendeleo ya michezo hapa nchini, kupitia semina na kozi mbalimbali ambazo zitasaidia kuondoa tatizo la kudumaa kwa sekta hiyo hapa nchini.
Aidha Nchimbi alisema, kupitia kozi hiyo kila mmoja anatakiwa kutumia elimu hiyo ipasavyo, ili kuondoa matatizo yanayoikabili michezo hapa nchini.
"Klabu zetu za soka zimekuwa ndio chanzo cha migogoro na matatizo, masuala ambayo yanadumaza maendeleo kusudiwa ya soka," alisema.
Nchimbi, aliipongeza TFF kwa mpangilio wa kuwasiliana na FIFA na kuileta kozi hiyo ikiwa na lengo la kupanua wigo wa uelewa wa viongozi wa soka, katika nyanja mbalimbali ambazo ndio mchakato wa kwanza wa shirikisho hilo la kimataifa, ambako kwa Tanzania ndio mwanzo wa mchakato huo wa kufikisha ujumbe kwa wanachama wake.
Naye Mkurugenzi wa FIFA wa Maendeleo Kanda wa Kusini wa Afrika, Ashford Mamelod alisema, hatua ya kuipendelea Tanzania kuwa ya mwanzo katika maendeleo ya soka ni kutokana na sababu ya utulivu na mwelekeo bora wanaouonyesha viongozi wa TFF, ambao tangu mwaka 2004, Tanzania wanaipa kipaumbele kutokana na ubora huo.
Mamelod alisema, kozi hiyo ina lengo la kuboresha maendeleo ya soka ndani ya dakika 90 za mchezo, jinsi zinavyofanya kazi uwanjani na matayarisho yake.
Rais wa TFF, Leodegar Tenga alisema, ndani ya miaka mitano Tanzania imepata mafunzo bora kutoka FIFA ambayo watayafanyia kazi kutokana na umuhimu waliopewa na Shirikisho hilo.
Tenga aliishukuru FIFA kwa kuipa elimu mbalimbali kwa wadau wake ambao ndio waendelezaji wa mchezo huo.
Mamelod amefuatana na Ofisa Maendeleo wa vyombo vya Habari wa FIFA, Allan Leiblang kutoka Ufaransa, Ofisa Maendeleo Soka la Wanawake wa FIFA, Keni Michele, Ofisa Maendeleo wa FIFA, ambaye ni mmojawapo wa waliofanikisha uandaaji wa kombe la dunia nchini Afrika Kusini, Russel Paul, Anter Isaac na Mshauri wa Maendeleo soka wa FIFA, John Windsor.
 
18 zathibitisha ligi Taifa Pwani


na Victor Masangu, Pwani


amka2.gif
TIMU 18 zimethibitisha kushiriki katika kinyang'anyiro cha Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ngazi ya Mkoa wa Pwani inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Februari 5 mwaka huu.
Akizungumza ofisini kwake jana, Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Pwani (COREFA), Riziki Majala alisema kwamba, maandalizi kwa ajili ya ligi hiyo yanaendelea vizuri na timu husika zinaendeleo kujifua.
Majala alisema kwamba, ligi ya mwaka huu itakuwa na upinzani wa hali ya juu kutokana na kila timu shiriki katika msimu huu kuonekana kujiandaa vya kutosha kwa nia ya kushinda katika kila mechi ili kuweza kuunyakua ubingwa wa Mkoa.
Katibu huyo alizitaja baadhi ya timu zitakazoshiriki katika ligi hiyo kituo cha Mafia kuwa ni Ja Fc, Aljitihadi, King stone, Durban Fc, Ujamaa pamoja na Halmashauri Rangers.
Kituo cha Mkuranga kutakuwa na Fire stone, Waylazi Fc, Black Titer, Msanga United, Msulu International Fc pamoja na Bungu United, wakati kituo cha Kibaha ni Mailimoja United, 36 Kj pamoja na Mailimoja Kids.
Katibu huyo alisema, ligi hiyo itajumuisha Wilaya zote za Mkoa wa Pwani ambazo ni Mkuranga, Rufiji, Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe na Mafia.
Alisema, mwisho wa kurejesha fomu za usajili ni Januari 24 wakati pingamizi zitaanza Januari 25 hadi 31 huku usaili na uthibitisho utafanyika Februari 2 na kuzihimiza timu husika kufika katika vituo vyao mapema.
 
Bausi alia na ubabaishaji ZFA


na Juma Kasesa


amka2.gif
BEKI wa zamani wa timu za Small Simba, Malindi na timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars' Seif Bausi amesema ubabaishaji uliopo kwa baadhi ya viongozi wa Chama Soka cha Zanzibar (ZFA), na kukosekana kwa udhamini katika Ligi Kuu ya Visiwani ndiyo chanzo cha kuporomoka kwa soka la visiwa hivyo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Bausi alisema, soka la Zanzibar limeporomoka kwa kiasi kikubwa kutokana baadhi ya viongozi kushindwa kutimiza wajibu wao katika dhamana ya uongozi waliyopewa, hali ambayo imechangia kuzorota kisoka kulinganisha na zama ambazo alikuwa akicheza yeye.
"Kiongozi unapaswa kusimamia katika kile ambacho umekisema na kuacha kuchanganya mpira na siasa, lakini unakuta baadhi ya viongozi wetu hawana dhamira ya kweli na maendeleo ya soka Zanzibar," alisema Bausi.
Alisema, licha ya ubabaishaji wa viongozi, kitu kingine ni kukosekana kwa mdhamini, ambaye ataweza kuigharamia Ligi Kuu ili iweze kuongeza ushindani kwa timu, hali ambayo itaamsha hamasa kwa vijana mbalimbali kujitokeza kucheza soka.
"Huwezi kulinganisha Ligi Kuu ya Zanzibar na Tanzania Bara, kiukweli zinatofauti kubwa sana, kwa kuwa udhamini walionao wenzetu umeleta ushindani mkubwa, ambako wakati mwingine ni ngumu kutabiri nani atashinda mechi kutokana kila timu kupata fedha za maandalizi," alisema Bausi.
Alisema, iwapo viongozi wa ZFA wangesimama kidete katika kusaka wadhamini, ambao watawekeza katika soka ya Zanzibar, hadhi na kasi ya Ligi hiyo itaweza kurejea kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.



h.sep3.gif


juu
 
Simba kamili yaifuata Elan Tuesday, 25 January 2011 00:15

patrick%20phiri.jpg
kocha Mkuu wa timu ya Simba,Patrick Phiri

Imani Makongoro
KIKOSI cha wachezaji 21 cha klabu ya Simba kitaondoka kesho asubuhi kwenda Comoro tayari kwa mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa ya Afrika dhidi ya timu ya Elan Club de Mitsoudje.
Timu hiyo itaondoka kwa ndege ya Air Comoro kuanzia saa 2:00 asubuhi na maandalizi yake yamekwisha kamilika kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Godfrey Nyange ëKaburuí.

Kaburu alisema kuwa wachezaji wana morali kubwa na wanaamini watafanya vizuri katika mechi hiyo.

Naye kocha Mkuu wa timu hiyo, Patrick Phiri amesema kuwa pamoja na timu kupata matokeo mabaya ya kufungwa 3-2 na Azam FC, lakini wana matumaini makubwa ya kufanya vyema na makosa yaliyofanyika watayafanyika kazi kabla ya mechi yao ya mwishoni mwa wiki.

Phiri alisema kuwa mechi dhidi ya Atletico na Azam FC imewapa picha halisi ya timu yao na hasa upande wa ulizni ambayo imekuwa ikiruhusu mabao kirahisi.

Alisema kuwa tatizo hilo limekuwa likiigharimu sana timu yake na dawa yake imekwisha patikana na kuwataka mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba kusahau matokeo mabaya kwa timu yao.

Alifafanua kuwa walifungwa bao rahisi sana na timu ya Atletico ya Brazil, lakini hakuizingatia sana mechi hiyo kutokana na viwango vya wachezaji na mechi ambayo imemtia simanzi kubwa ni dhidi ya Azam FC ambayo mara kadhaa wamekuwa wakiifunga.

ìHakuna tatizo kubwa na tusaiahu yaliyopita, sasa tuaangalia nini kinafuata na nini cha kufanya, tunaamini kuwa mechi yetu dhidi ya Elan itakuwa ngumu, lakini tutashida,î alisema Phiri.

Katika kikosi chake, Phiri amewaacha wachezaji sita kutokana na sababu za ugonjwa na nyingine ikiwemo viwango. Wachezaji walioachwa ni Joseph Owino na Uhuru Seleman ambao ni wagonjwa na wengine ni ambao hawatakuwemo katika safari hiyo ni Aziz Gilla, Kelvin Charles, Salum Kanoni na kipa namba tatu, Ramadhan Kabali.

Wachezaji wanaondoka ni: Makipa; Juma Kaseja, Ali Mustapha.

Mabeki: Haruna Shamte, Amir Maftah, Juma Jabu, Juma Nyosso, Kelvin Yondani, Meshack Abel.

Wachezaji wa kati (viungo): Mohamed Banka, Abdulhalim Humud, Jerry Santo, Rashid Gumbo, Nico Nyagawa, Hilary Echesa, Patrick Ochan na Amri Kiemba.

Washambuliaji ni: Mussa ìMgosiî Hassan, Emmanuel Okwi, Mbwana Samatta, Ahmed Shiboli na Shija Mkina.
Kwa upande wa benchi la ufundi kutakuwa na kocha mkuu, Patrick Phiri, msaidizi wake, Amri Said, timu meneja, Innocent Njovu na daktari, Cosmas Kapinga.

Mkuu wa Msafara huo ni Ibrahim Masoud ëMaestroí ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya Simba na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji.

Kwa upande wa Shirikisho la soka la Tanzania (TFF), litawakilishwa na mjumbe wa kamati ya Utendaji, Shaibu Nampunde.
Wajumbe wengine katika msafara huo ni Swedi Mkwabi, Makamu Mwenyekiti, Godfrey ìKaburuî Nyange na mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage.


 
Yanga yaendeleza shangwe Jangwani


*Mwape aibuka shujaa tena

Na Zahoro Mlanzi

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga jana iliendeleza shangwe za ushindi huku ikiongeza wigo wa pointi nne kwa wapinzani wao wa jadi Simba, Baada
ya kuifunga Polisi Tanzania mabao 2-0.

Kwa ushindi huo wa jana uliopatikana katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Yanga sasa imejikita zaidi kileleni mwa ligi hiyo kwa kujikusanyia pointi 31 ikifuatiwa na Simba yenye pointi 27, huku Azam FC ikikamata nafasi ya tatu kwa kuwa na pointi 23.

Katika pambano hilo, Yanga ilipata bao la kwanza ya dakika ya 45 lililofungwa na Mzambia, Davies Mwape kwa shuti kali akiwa nje ya eneo la hatari, baada ya kupokea pasi ya Shadrack Nsajigwa.

Awali kabla ya bao hilo la Mwape ambaye jana aliibuka shujaa kwa kufunga mabao hayo, Idd Mbaga wa Yanga dakika ya 25 nusura aipatie timu yake bao baada ya kuunganisha krosi ya Nsajigwa kwa kichwa lakini mpira ukatoka nje ya lango.

Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kucheza kwa nguvu ambapo, Polisi ilijaribu kupeleka mashambulizi langoni mwa Yanga, lakini hata hivyo washambuliaji wake walishindwa kupenyeza mpira wavuni.

Baada ya mashambulizi hayo, Yanga iligeuza kibao na kuliandama lango la Polisi ambapo Nsa Job alikosa bao la wazi baada ya kuinasa pasi ya Nurdin Bakari kwa kupiga shuti lililotoka nje.

Dakika ya 68 mchezaji, Delta Thomas wa Polisi alitolewa nje kwa machela baada ya kuanguka vibaya wakati akiwa katika harakati za kuokoa akiwa na Jeryson Tegete.

Yanga iliongeza bao la pili dakika ya 80 lililofungwa tena na Mwape kwa shuti kali akiwa nje ya eneo la hatari, baada ya kupokea pasi ya Tegete. Bao hilo likiwa la tano kwake kwenye ligi hiyo.

Mwape ambaye jana ilikuwa mechi yake ya pili tangu kusajiliwa Yanga katika usajili wa dirisha dogo kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya AFC ambayo timu yake ilishinda mabao 6-1, alipachika mabao matatu.

Mara baada ya kumalizika kwa mchezo, Kocha Mkuu wa Yanga, Kostadin Papic alisema hatma yake ya kuendelea kuinoa timu hiyo itajulikana leo baada ya kukutana na viongozi wake.

"Sina la kuongea zaidi na kwamba sina tatizo na Fredy Felix 'Minziro' kama mlivyomuona kwenye benchi, ila kwa sasa kuna vitu natakiwa kuviweka sawa na viongozi, hivyo kesho (leo) nitawapa hali halisi," alisema Papic.

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom