Michezo ya hatari: Ushawahi kuingiza mwanamke / kulala naye nyumbani kwa baba yako? Ilikuwaje?

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu.

Kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu alikua anamjua vzr ila nikimpanga aje ndani tulale hakatai.

Nilikua nasubiri wote walale naenda kumfungulia anaingia ndani room yangu ilikua ya ndani ya nyumba namla usiku kucha na nawahi kumtoa kabla hawajaamka, ilikua hatari sanaaa ambayo sijui nilikua nawezaje.
 
Hiyo hata sio hatari! Mkuu hivi ulishawahi kwenda kukojoa mahali pamechorwa mayai mawili halafu kuna mkasi kwa pembeni?

Nilijitahidi wakatoa moja baada ya kujitetea kwa zaidi ya saa moja!
 
Hiyo rahisi sana miaka ya mwishoni mwa tisini ndio balehe imepamba moto Kijiji Tabora ndani ndani huko nakumbuka nilikuwa natembea kwenda kumchukua demu mtaa wa tano namleta home napiga show kama kawa halafu namrudisha hiyo njia usiku ilikuwa hatari miti mikubwa unapita chini vichaka .Ila ngenye shida sana
 
Hiyo hata sio hatari!,Mkuu hivi ulishawahi kwenda kukojoa mahali pamechorwa mayai mawili halafu kuna mkasi kwa pembeni...?
Nilijitahidi wakatoa moja baada ya kujitetea kwa zaidi ya saa moja!
Sijaelewa
 
Mm nakumbuka ilitokea nilipomaliza form 6. Kile kipindi cha kungojea matokeo ya kwenda chuo. Mtaani kulikua na mwanajeshi ana kauwezo kwahyo mtaa mzima alikua anaonekana don. Sasa bwana alikua na binti kipindi hiko alikua amemaliza form 4 halafu dizaini zile za geti kali full kuchungwa. Kalikuaga na pumu mda wote kanavaa masweta [emoji3]

Siku hiyo nikamvizia anaenda shop nikampiga saundi akawa na zile sitaki nataka. Mwisho akawa analeta mazoea akienda dukani anapita karibu na home anarusha jiwe juu ya bati, natoka tunapiga story mbili tatu fasta anarudi kwao. Mambo ya cm yalikua hakuna hapo.

Siku ya kuliwa alijichanganya akaja nilikua kitaa peke yangu, nakumbuka bimkubwa alienda kwenye msiba mkoani. Kwahyo nilibaki na mshua, ambae ratiba zake ziko fixed, akitoka asubuhi kurudi saa tisa jioni. Mtoto karusha jiwe nikatoka. Story za uongo na ukweli nikambembeleza mpaka akazama ndani.

Tukaanza zile touch na kushikana shikana pale ukumbini, kumbe dogo nae alikua na ukame aisee. Nyonya chuchu mtoto anahema kama bata yani ile " haaa haaa haaa"... Nikasema hapa nifanye haraka asije kubanwa na pumu show ikashindikana, nikakabeba zamisha getto.. Piga sana miti.

Nakumbuka nilienda round 5 na bado mnara unasoma, nataka nirudi ya sita naskia nje mlango unagongwa halafu sauti ya mshua ananiambia Kactus fungua mlango haraka!! Dah mzee nilipanic halafu yule duu nje aliacha vindala vyake so nikajua tu mshua atakua ameviona na ameshajua nimeingiza dem ndani..

Fasta nikavaa dogo nikamficha uvunguni nikatoka kufungua mlango mkubwa nje. Dah! Sijui mzee alikua anawaza nn, akanipita kwa speed akazama chumbani kwake na hakutoka. Nikarudi zangu room nikamtoa dogo kimya kimya akarudi kwao.
 
miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka singida,nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake,nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu,,kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu alikua anamjua vzr ila nikimpanga aje ndani tulale hakatai,,nilikua nasubiri wote walale naenda kumfungulia anaingia ndani room yangu ilikua ya ndani ya nyumba namla usiku kucha na nawahi kumtoa kabla hawajaamka,,ilikua hatari sanaaa ambayo sijui nilikua nawezaje,,,
Alaaniwe anayejisifia upumbavu kama huu (na wazinzi wote tuseme amina)🤕
 
Wizi wa diesel kwenye malori maeneo na vijiji along side morogoro & segera road.

Bidhaa za magendo kutoka Zanzibar kupitia bahari bubu za kunduchi & Bagamoyo.
 
Mm nakumbuka ilitokea nilipomaliza form 6. Kile kipindi cha kungojea matokeo ya kwenda chuo. Mtaani kulikua na mwanajeshi ana kauwezo kwahyo mtaa mzima alikua anaonekana don. Sasa bwana alikua na binti kipindi hiko alikua amemaliza form 4 halafu dizaini zile za geti kali full kuchungwa. Kalikuaga na pumu mda wote kanavaa masweta [emoji3]

Siku hiyo nikamvizia anaenda shop nikampiga saundi akawa na zile sitaki nataka. Mwisho akawa analeta mazoea akienda dukani anapita karibu na home anarusha jiwe juu ya bati, natoka tunapiga story mbili tatu fasta anarudi kwao. Mambo ya cm yalikua hakuna hapo.

Siku ya kuliwa alijichanganya akaja nilikua kitaa peke yangu, nakumbuka bimkubwa alienda kwenye msiba mkoani. Kwahyo nilibaki na mshua, ambae ratiba zake ziko fixed, akitoka asubuhi kurudi saa tisa jioni. Mtoto karusha jiwe nikatoka. Story za uongo na ukweli nikambembeleza mpaka akazama ndani.

Tukaanza zile touch na kushikana shikana pale ukumbini, kumbe dogo nae alikua na ukame aisee. Nyonya chuchu mtoto anahema kama bata yani ile " haaa haaa haaa"... Nikasema hapa nifanye haraka asije kubanwa na pumu show ikashindikana, nikakabeba zamisha getto.. Piga sana miti. Nakumbuka nilienda round 5 na bado mnara unasoma, nataka nirudi ya sita naskia nje mlango unagongwa halafu sauti ya mshua ananiambia Kactus fungua mlango haraka!! Dah mzee nilipanic halafu yule duu nje aliacha vindala vyake so nikajua tu mshua atakua ameviona na ameshajua nimeingiza dem ndani..

Fasta nikavaa dogo nikamficha uvunguni nikatoka kufungua mlango mkubwa nje. Dah! Sijui mzee alikua anawaza nn, akanipita kwa speed akazama chumbani kwake na hakutoka.. Nikarudi zangu room nikamtoa dogo kimya kimya akarudi kwao
Babaako alielewa akaamua kukusitiri
 
Mbona juzi tu hapa kuamkia jana.nimempitisha demu mbele yao.nikapga show fresh na akatoka kimya kimya
 
Labda kama sijaonja vizuri
gettyimages-80821203-612x612.jpg
 
miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka singida,nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake,nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu,,kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu alikua anamjua vzr ila nikimpanga aje ndani tulale hakatai,,nilikua nasubiri wote walale naenda kumfungulia anaingia ndani room yangu ilikua ya ndani ya nyumba namla usiku kucha na nawahi kumtoa kabla hawajaamka,,ilikua hatari sanaaa ambayo sijui nilikua nawezaje,,,
Bado una utoto
 
Back
Top Bottom