Michezo ya hatari: Ushawahi kuingiza mwanamke / kulala naye nyumbani kwa baba yako? Ilikuwaje?

Michezo ya hatari: Ushawahi kuingiza mwanamke / kulala naye nyumbani kwa baba yako? Ilikuwaje?

Labda kama sijaonja vizuriView attachment 2207932
Na chapati
FB_IMG_16469323917661860.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari na nusu wakuu, ule umri ulikuaga unanipeleka hadi hofu ya kula demu popote nilikua sinaga, maana nakumbuka nilikua nakulaga pisi na maza yuko ndani na mzee, ani ni kawenge tu

Nakumbuka nimeshawahi kulaga mgeni alikua ndugundugu ata sijui wa vipi ila alikuja pale maskani mzee yuko nje ya nyuma tu amekaa na mm na yule dada tunakulana lakini ameshikilia nondo za dirisha, anaangalia kwa mzee na uzuri wa ndani anaona nje ila wa nje haoni ndani, sasa nikumuona kama anataka kuja ndani nasepa chap kwenye tukiona na yeye anashusha kasketi na anavunga kama hakuna kitu[emoji28]

Mungu alinilinda tu maana sijui ningeambia nn watu kama wangenikuta
 
Mm nakumbuka ilitokea nilipomaliza form 6. Kile kipindi cha kungojea matokeo ya kwenda chuo. Mtaani kulikua na mwanajeshi ana kauwezo kwahyo mtaa mzima alikua anaonekana don. Sasa bwana alikua na binti kipindi hiko alikua amemaliza form 4 halafu dizaini zile za geti kali full kuchungwa. Kalikuaga na pumu mda wote kanavaa masweta [emoji3]

Siku hiyo nikamvizia anaenda shop nikampiga saundi akawa na zile sitaki nataka. Mwisho akawa analeta mazoea akienda dukani anapita karibu na home anarusha jiwe juu ya bati, natoka tunapiga story mbili tatu fasta anarudi kwao. Mambo ya cm yalikua hakuna hapo.

Siku ya kuliwa alijichanganya akaja nilikua kitaa peke yangu, nakumbuka bimkubwa alienda kwenye msiba mkoani. Kwahyo nilibaki na mshua, ambae ratiba zake ziko fixed, akitoka asubuhi kurudi saa tisa jioni. Mtoto karusha jiwe nikatoka. Story za uongo na ukweli nikambembeleza mpaka akazama ndani.

Tukaanza zile touch na kushikana shikana pale ukumbini, kumbe dogo nae alikua na ukame aisee. Nyonya chuchu mtoto anahema kama bata yani ile " haaa haaa haaa"... Nikasema hapa nifanye haraka asije kubanwa na pumu show ikashindikana, nikakabeba zamisha getto.. Piga sana miti.

Nakumbuka nilienda round 5 na bado mnara unasoma, nataka nirudi ya sita naskia nje mlango unagongwa halafu sauti ya mshua ananiambia Kactus fungua mlango haraka!! Dah mzee nilipanic halafu yule duu nje aliacha vindala vyake so nikajua tu mshua atakua ameviona na ameshajua nimeingiza dem ndani..

Fasta nikavaa dogo nikamficha uvunguni nikatoka kufungua mlango mkubwa nje. Dah! Sijui mzee alikua anawaza nn, akanipita kwa speed akazama chumbani kwake na hakutoka. Nikarudi zangu room nikamtoa dogo kimya kimya akarudi kwao.

Nimeishia hapo kwenye raundi TANO na bado mnara unasoma.[emoji276]
 
Mimi nilikuwa nakaa kwa uncle nilikuwa naingiza usiku sana na kutoa asubuhi sana

Kitasa nilikuwa nafungua kiufundi sana bila sauti utasema money heist

Ila uncle Kuna kipindi aliniita akaniambia shika hizi . Zilikuwa kondomu

Nikajua amejua
 
watu wazima huwa wanajua kila kitu we fikiria wewe mtoto wako atakudanganya nini
 
Hiyo rahisi sana miaka ya mwishoni mwa tisini ndio balehe imepamba moto Kijiji Tabora ndani ndani huko nakumbuka nilikuwa natembea kwenda kumchukua demu mtaa wa tano namleta home napiga show kama kawa halafu namrudisha hiyo njia usiku ilikuwa hatari miti mikubwa unapita chini vichaka .Ila ngenye shida sana
Hukuwa unakutana na paka, au miembe inaongea??
 
Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu.

Kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu alikua anamjua vzr ila nikimpanga aje ndani tulale hakatai.

Nilikua nasubiri wote walale naenda kumfungulia anaingia ndani room yangu ilikua ya ndani ya nyumba namla usiku kucha na nawahi kumtoa kabla hawajaamka, ilikua hatari sanaaa ambayo sijui nilikua nawezaje.
Huo mkoa ni vicheche hakuna kipya hapo
 
Mie nimewahi fanya hivyo home bana.. tena na demu ambae bimkubwa hampendi.. asavali hajui kama nilifanya.

Laiti angejua ningehama nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nimewahi fanya hivyo home bana.. tena na demu ambae bimkubwa hampendi.. asavali hajui kama nilifanya.

Laiti angejua ningehama nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asavali kabixa maza hakujuaaa Asavali[emoji16][emoji16]
 
Ngoja ni subscribe huu uzi nimalizie kazi soon naja kuwapa yangu hii ndo kali kuliko zote.
 
Mimi yangu ni vais vesa ilikuwa hivi;niliwahi kuwa na dada mmoja katika relation.. enzi hizo nipo home siku moja nipo offmood ya kwenda chuo, text inaingia kucheki ni yeye hey mambo upo chuo? Nika reply nop! Nipo home sijatoka leo.Akaniambia dah! Nipo home mwenyewe unaweza kuja? Nikasema woooow! Fursa hii! Nika funga safari hadi kwao kufika kweli akapika nikala huwezi Amini siku ile nilijitawala kama nimemuoa na mimi ndo mwenye nyumba nilipiga sana show siku ile saaa 4 ndo naondoka home.Si akanogewa na kesho akaniita tena sasa iyo kesho!nilienda mapema aisee nilipiga hadi akatamani nisiondoke.

Na mimi nikalipiza; ikawa hivi! Ilikuwa siku ya jumapili tulitoka nyumba nzima na wazee kwenda church ibada ya kwanza basi bwana!siku kulikuwa na sherehe flani pale church ya wote.Baada ya ibada kuisha wazee wa kasema sisi hatutoludi hadi hii sherehe iishe nikasema sawa naludi home mala moja kwenda kuchukua camera kwa ajili ya picha.Kweli mwanaume nikatoka church hadi home kufika teali nilikuwa nishampanga mchuchu saa 7:15 akafika nikalipia boda nakumvusha mtoto ndani!nikalock milango yote asije mtu kuingia aisee!ilipigwa show hiyooo! Baada ya mbungi akavushwa na kupandishwa boda hakuna aliejua hadi leo hii nikikumbuka daah! Nabaki kucheka.[emoji23][emoji23]
 
Heri yenu, mie nilifumaniwa na mzee! Nilikuwa form 4 enzi hizo, sasa Jirani just the next house kulikuwa na mabinti wawili wazuri mtu na mdogo wake Wanyiramba wale.
Sasa nikampanga dada mtu naye akajaa vizuri akaahidi kuja jion na sehemu ya kula mbususu ni kwenye uchochoro between Leyland ya mzee na ukuta wa fence.
Saa mbili mbili hivi Mtoto akaja, nikampeleka kwenye kachobingo kama tulivopanga, enzi hizo kupiga denda Hata hakukuwa maarufu sana, so nikavamia Yale maziwa na kuanza kuyangonya kiufundi huku Mtoto anatapa tapa kama mkia wa mjusi uliokatika (waliowinda mijusi wanajua jinsi ule mkia unavokuwaga unaruka ruka)
Sasa sie tupo busy na shughuli yetu (hapo hata sijaingiza kitu vizur) kumbe mzee amekaribia na hatujamuona.
Maskini mzee wangu (RIP) yeye nadhani alihisi ni vibaka wanataka kumuibia may be starter ya Leyland yake, si akanyata vizuri mpaka akatufikia sie wala hatumuoni, akawasha tochi yake ghafla (alikuwa na torch ile ya mawe Sita nadhan wakongwe watakuwa wanaikumbuka) kutumulika!😋
Nikasikia kaguna tu then akaniita jina langu, nilipoitika akageuza akaondoka zake kabisa wala hata ndani hakuingia tena!
Mzee hakuniuliza chochote siku hiyo na wala hakuwah liongelea hilo tukio maisha yake yote mpaka nimekuwa mtu mzima na maisha yangu!
Salute kwako my beloved father!! Ulinifundisha nini maana ya kuwa mwanaume na kutunza siri!
 
Heri yenu, mie nilifumaniwa na mzee! Nilikuwa form 4 enzi hizo, sasa Jirani just the next house kulikuwa na mabinti wawili wazuri mtu na mdogo wake Wanyiramba wale.
Sasa nikampanga dada mtu naye akajaa vizuri akaahidi kuja jion na sehemu ya kula mbususu ni kwenye uchochoro between Leyland ya mzee na ukuta wa fence.
Saa mbili mbili hivi Mtoto akaja, nikampeleka kwenye kachobingo kama tulivopanga, enzi hizo kupiga denda Hata hakukuwa maarufu sana, so nikavamia Yale maziwa na kuanza kuyangonya kiufundi huku Mtoto anatapa tapa kama mkia wa mjusi uliokatika (waliowinda mijusi wanajua jinsi ule mkia unavokuwaga unaruka ruka)
Sasa sie tupo busy na shughuli yetu (hapo hata sijaingiza kitu vizur) kumbe mzee amekaribia na hatujamuona.
Maskini mzee wangu (RIP) yeye nadhani alihisi ni vibaka wanataka kumuibia may be starter ya Leyland yake, si akanyata vizuri mpaka akatufikia sie wala hatumuoni, akawasha tochi yake ghafla (alikuwa na torch ile ya mawe Sita nadhan wakongwe watakuwa wanaikumbuka) kutumulika![emoji39]

Daaa we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Apumzike kwa amani mshua aliupiga mwingi saaaana saluti sana kwake...! Mm dingi alizuga kama hajaniona wkt ishu nzima mpaka nazama na demu magetoni alikua anaizoom tu! Huo ndio uanaume sasa
 
Back
Top Bottom