Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

Weka na ile after red card wakawa wanapiga story
Yap walikaa sehemu moja wakawa wanakula story, classy!

Ila tafuta mechi iliyobatizwa Battle of Berne, ilikuwa ni mechi ya Hungary Vs Brazil, Wolrd Cup ya 1954 pale Uswizi. Zilipigwa rafu za kibabe sana, kadi nyekundu 3 zilitoka, baada ya hapo ugomvi mkubwa ukaamia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Zilipigwa sana ngumi.
 
Roberto Fabian ayala
Mathiass Almeyda
Bogdn Stelea
Cesar Sampaio
ALDAIR
MUTIU ADEPOJU
GARBA LAWAL
HIDETOSHI NAKATA
THEODORE WHITMORE
Frank Sinclair
Deon Burton
Paul Scholles
Abdeljelili Hadda
Ally Zotoun
Mehdi Ben Slimane
Salahedeen Bassir
Pierre Djaka Njanka
Anthony Polster
Kjektil Rekdall
Ebbe Sand
Torre Andre Flo
Nelson Tapia
Cauthemoc Blanco
Marc wilmots
Luc Nillis
 
Michuano ya world cup nloshuhudia mimi ni ile ya Africa kusini ambapo Spain ndo alibeba ..na ile ya brazili ambapo German ndo alibeba na hii ya juzi ya urusi ambapo France ndo alibeba ....kati ya hii mitatu ..naweza kusema Michuano bora kwangu ni ile ya German ilikuwa bingwa baad ya kumlala Burazili goli saba kwa moja ..

Goli pekee la Buraliz likifungwa na Oscar Emboabà ambay yuk China kwa sasa..

Moja ya gemu nnayoikumbuka ni ile kati ya Burazili na Colombia ..hii ni moja ya gemu kali sana kweny Michuano hii kuwahi kutokea..

Iyo gemu Burazili alishinda 2-1 ndo akaenda kukutana na mvua ya magoli..
 
Taribo West
Mustapha Hadji
Diego Simione
Cesar Sampaio
Bixente Lizarazu
Ariel Ortega

Afu Argentina walimuacha fundi wa mpira, Fernando Redondo kisa tu alikataa kunyoa nywele.
Ilikuwa mwaka gan??.
 
Fainali za mwaka 2006 zilinikosha sana sana zikichagizwa na kichwa cha Matterazz dhidi ya Zidane
 
King Ngwaba
Baba Swalehe
Bengalisis
Njooni mumuone dogo
 
Acha masihara, seaman anafungwa free kiki na dinho. Nakumbuka fresh asubuhi na mapem.

Inawezekana huyo alihadithiwa tu hayo mashindano ya 2002 lakini hakiyaona.

Anapaswa ajue kuwa Ronaldinyo alianza kuitwa Timu ya Taifa tokea 2000 akiwa kama Young player yeye na Kaka. Kwenye hiyo michuano ya 2002 alichakuwa Senior player na sio Amateur tena.
 
Mi nakumbuka yale mashindano yaliyofanyika Korea kusini na Japan ambayo mechi ya kwanza walicheza France vs Senegal na Senegal akashinda moja.

Kilichokuwa kinanikera ni mechi kuchezwa asubuhi tu.
korea na japan muda huu ni saa 6 mchana, ina maana mechi ikichezwa saa 4 kwa saa za afrika mashariki huko kwao inakuwa ni saa 10 jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…