mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Weka na ile after red card wakawa wanapiga story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na ile after red card wakawa wanapiga story
Yap walikaa sehemu moja wakawa wanakula story, classy!Weka na ile after red card wakawa wanapiga story
Kanuni mbili za kumtaja Ronaldinho2002 Ronaldo de Lima on firee bonge ya World Cup Waingereza wanatolewa na free kick ya Ronaldinho.
Umeanza kutazama mpira lini?
Ilikuwa mwaka gan??.Taribo West
Mustapha Hadji
Diego Simione
Cesar Sampaio
Bixente Lizarazu
Ariel Ortega
Afu Argentina walimuacha fundi wa mpira, Fernando Redondo kisa tu alikataa kunyoa nywele.
Mwaka 1998Ilikuwa mwaka gan??.
King NgwabaMichuano ya world cup nloshuhudia mimi ni ile ya Africa kusini ambapo Spain ndo alibeba ..na ile ya brazili ambapo German ndo alibeba na hii ya juzi ya urusi ambapo France ndo alibeba ....kati ya hii mitatu ..naweza kusema Michuano bora kwangu ni ile ya German ilikuwa bingwa baad ya kumlala Burazili goli saba kwa moja ..
Goli pekee la Buraliz likifungwa na Oscar Emboabà ambay yuk China kwa sasa..
Moja ya gemu nnayoikumbuka ni ile kati ya Burazili na Colombia ..hii ni moja ya gemu kali sana kweny Michuano hii kuwahi kutokea..
Iyo gemu Burazili alishinda 2-1 ndo akaenda kukutana na mvua ya magoli..
Hahaha siyo ivyo bana ...mpira nmeanza kushabikia 2008 apo ..utasema mimi ni Dogo??
Acha masihara, seaman anafungwa free kiki na dinho. Nakumbuka fresh asubuhi na mapem.2002 ronaldinho hakuepo acha chai
Dah kwa hiyo hata ya 2006 hukuiona???Hahaha siyo ivyo bana ...mpira nmeanza kushabikia 2008 apo ..utasema mimi ni Dogo??
Ahahah hata kwenye korodani badoDah! Kumbe wakati Roberto Baggio anawauwa Wataliana wenzake Ollachuga ndiyokwanza alikuwa kwenye Korodani
Haka katoto bhana 😅😅
Acha masihara, seaman anafungwa free kiki na dinho. Nakumbuka fresh asubuhi na mapem.
korea na japan muda huu ni saa 6 mchana, ina maana mechi ikichezwa saa 4 kwa saa za afrika mashariki huko kwao inakuwa ni saa 10 jioni.Mi nakumbuka yale mashindano yaliyofanyika Korea kusini na Japan ambayo mechi ya kwanza walicheza France vs Senegal na Senegal akashinda moja.
Kilichokuwa kinanikera ni mechi kuchezwa asubuhi tu.