SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?

istockphoto-1333083823-612x612.jpg
 
Tunachokijua
Uke ni kiungo kinachounda sehemu ya mfumo na mfereji wa uzazi wa mwanamke ambacho hufanya kazi kuu tatu ambazo ni;
  1. Kuruhusu utoaji wa masalia ya damu na tishu za mji wa uzazi kupitia hedhi.
  2. Kupokea uume wakati wa kushiriki tendo la ndoa pamoja na kuhifadhi mbegu za kiume kwa mda hadi zitakapo ufikia mji wa uzazi.
  3. Kuruhusu kupita kwa mtoto wakati wa uchungu wa kuzaa.
Kimuundo, uke humaanisha tundu la ndani ambalo urefu wa kina chake hubadilika kulingana na hali anazopitia mwanamke. Mathalani, kabla ya msisimko wa kihisia, pasipo kujali ukubwa wa midomo, wastani wa kawaida wa kina chake huwa ni nchi 2.74-3.25 huku kina chake kikiongezeka hadi kufikia wastani wa nchi 4.25-4.75 wakati wa msisimko wa kihisia. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa Masters na Johnson (1966).

Mashavu yanayozunguka uke ambayo kitaalamu huitwa labia huwa na muonekano wa aina nyingi ambazo hutofautiana miongoni mwa wanawake. Kwa baadhi yao, labia hizi huwa ni kubwa, huonekana zimevimba, nyembamba, zimechomoza nje na wengine huwa wazi kiasi cha kufanya baadhi ya sehemu za ndani zionekane kirahisi.

Pamoja na uwepo wa tofauti hizi, JamiiForums inatambua kuwa ukuaji wa uke na labia zake pamoja na ukuaji wa midomo vyote kwa pamoja huongozwa na taarifa za kijenetiki (Genetics) na homoni za mwili.

Pia, JamiiForums imefanya mazungumzo na Madaktari Bingwa wa Masuala ya wanawake waliothibitisha kuwa ukubwa wa midomo na uke huwa havina uhusiano.

Aidha, hakuna maelezo yoyote ya kitafiti yanayothibitisha uhusiano wa ukubwa wa midomo na ukubwa wa uke hivyo mwanamke anaweza kuwa na uke mkubwa pasipo kujali udogo wa midomo yake, pia anaweza kuwa na uke mdogo hata ikiwa muonekano wa umbo la midomo yake ni mdogo.

Suala hili halina uthibitisho wa hoja za kisayansi hivyo linabaki kuwa ni uzushi.
Hii sio nadharia Tena na usitegemee proof Toka kwa hao wanasayansi wako. Hili suala binafsi nimelifanyia kazi na kwa matokeo yangu binafsi nina afiki Juu ya ukweli wa ukubwa wa mdomo ndivyo hivyo uko sambamba na Uke wake chini.

Nmefanya tafiti Juu ya wanawake 30 mpka nakuja kusema hapa kwa hadhira.

Ila kuna mkanganyiko Juu ya baadhi ya wadada wembamba sana na wale wanene ambao wako shaped hawa watu ni ujipange sana kuwakabili.
[emoji38][emoji38][emoji38] Huu utafiti wa uongo, haustahili hata kuitwa utafiti. Hebu tupe haiposisi, methodi na methodoloji(ni vitu viwili tofauti), sampling method, na kwanini sample ukachagua 30.
Kama huyo wa dole gumba la mkono na mguu kuhusiana na uume[emoji38][emoji38] ndio kabsaa.
 
Kwani ukunwa ni upi jr ni kina cha uke au upana au kichuguu yaani ile kuvimba kuja juuau ni ule upana wa sahani ya juu ukubwa ni upi unaozungumzia mleta maada
 
Hii sio nadharia Tena na usitegemee proof Toka kwa hao wanasayansi wako. Hili suala binafsi nimelifanyia kazi na kwa matokeo yangu binafsi nina afiki Juu ya ukweli wa ukubwa wa mdomo ndivyo hivyo uko sambamba na Uke wake chini.

Nmefanya tafiti Juu ya wanawake 30 mpka nakuja kusema hapa kwa hadhira.

Ila kuna mkanganyiko Juu ya baadhi ya wadada wembamba sana na wale wanene ambao wako shaped hawa watu ni ujipange sana kuwakabili.
Huyu mtaalam kachemka mno. Hili suala limetumiwa hata na mababu zetu ktk kuchagua wake zao. Walikuwa wanaangalia ukubwa wa midomo ili kujua ukubwa wa k.
 
Huu uzi umepewa prefix ya uzushi [emoji23]
 
Bro ni ukweli mwanamke mdomo wake ndio maumbile yake ya chini yalivyo

Mwanaume dole gumba la mkono au dole gumba la mguu ndio maumbile yake yalivyo

Sometimes tutafiti zaidi tenga wanawake 20 anza kuwakagua mmoja mmoja sio unaishia kusoma makala za wazungu tu
Unawakaguaje kwamba leta kidole gumba halafu funua tuone au
 
Kwani ukunwa ni upi jr ni kina cha uke au upana au kichuguu yaani ile kuvimba kuja juuau ni ule upana wa sahani ya juu ukubwa ni upi unaozungumzia mleta maada
Apo ni urefu wa ndani boss
 
hivyo ni vipimo asilia.! na ukiona ana vidole virefu, au vina nafasi kubwa kati ya kidole na kidole hasa vya mguuni kuna maana zake.
 
Hawa ndio watanzania!! Yani kakosa yoooooote huu ndio kaona Uzi wa kuleta jf!??Kwa staili hii umasikini Bado upo vizazi na vizazi
 
Vitu vichache vinavyoweza kuakisi urefu wa uke wa mwanamke ni vidole vyake vya mikononi na miguuni.
 
Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?

Kuna wanasiasa midomo yao inatanuka kwasababu ya kuongea mno majukwaani hasa hapa kwetu, je huyo msomi anawazungumziaje
 
mimi nina mdomo mkubwa na uke wangu ni mdogo sana na unabana sana umme:
hivyo wenye midomo midogo ndio wana **** kubwa, hapana .
Kumbe wewe ni mwanmke sikujua hilo,naomba niuone huo uke mdogo picha tafadhali

USSR
 
Back
Top Bottom