SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?

istockphoto-1333083823-612x612.jpg
 
Tunachokijua
Uke ni kiungo kinachounda sehemu ya mfumo na mfereji wa uzazi wa mwanamke ambacho hufanya kazi kuu tatu ambazo ni;
  1. Kuruhusu utoaji wa masalia ya damu na tishu za mji wa uzazi kupitia hedhi.
  2. Kupokea uume wakati wa kushiriki tendo la ndoa pamoja na kuhifadhi mbegu za kiume kwa mda hadi zitakapo ufikia mji wa uzazi.
  3. Kuruhusu kupita kwa mtoto wakati wa uchungu wa kuzaa.
Kimuundo, uke humaanisha tundu la ndani ambalo urefu wa kina chake hubadilika kulingana na hali anazopitia mwanamke. Mathalani, kabla ya msisimko wa kihisia, pasipo kujali ukubwa wa midomo, wastani wa kawaida wa kina chake huwa ni nchi 2.74-3.25 huku kina chake kikiongezeka hadi kufikia wastani wa nchi 4.25-4.75 wakati wa msisimko wa kihisia. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa Masters na Johnson (1966).

Mashavu yanayozunguka uke ambayo kitaalamu huitwa labia huwa na muonekano wa aina nyingi ambazo hutofautiana miongoni mwa wanawake. Kwa baadhi yao, labia hizi huwa ni kubwa, huonekana zimevimba, nyembamba, zimechomoza nje na wengine huwa wazi kiasi cha kufanya baadhi ya sehemu za ndani zionekane kirahisi.

Pamoja na uwepo wa tofauti hizi, JamiiForums inatambua kuwa ukuaji wa uke na labia zake pamoja na ukuaji wa midomo vyote kwa pamoja huongozwa na taarifa za kijenetiki (Genetics) na homoni za mwili.

Pia, JamiiForums imefanya mazungumzo na Madaktari Bingwa wa Masuala ya wanawake waliothibitisha kuwa ukubwa wa midomo na uke huwa havina uhusiano.

Aidha, hakuna maelezo yoyote ya kitafiti yanayothibitisha uhusiano wa ukubwa wa midomo na ukubwa wa uke hivyo mwanamke anaweza kuwa na uke mkubwa pasipo kujali udogo wa midomo yake, pia anaweza kuwa na uke mdogo hata ikiwa muonekano wa umbo la midomo yake ni mdogo.

Suala hili halina uthibitisho wa hoja za kisayansi hivyo linabaki kuwa ni uzushi.
Upande wa dole gumba la mkono na mguu ni uongo, uongo, uongo.
Najiona mwenyewe km kidole cha mkono ni kibamia hicho na cha mguu ni kifupi sana
 
Kwa upande wangu, nikitaka kujua kama mwanamke ana Qma yenye muonekano mzuri hua naangalia vidole/kucha za mikono yake.

Kama ana vidole/kucha nzuri bc atakuwa na Qma yenye muonekano mzuri lakini kama ana vidole kama tangawizi na kucha kama anachimba shambani huyo hawezi kuwa na Qma mzuri.
Vidole kama Tangawizi[emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wewe tu bro, niliwahi kuwa na kifaa cha dizaini hiyo, kuanzia wakati huo niliamini kabisa kuwa "tight pû55y is not for everyone" [emoji16] saiv najilia wale ambao ukiweka inabidi utoe kwanza ukahakikishe kama ni sehemu sahihi kweli ama umejisahau ukaweka kwenye bakuli [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baadhi ni kweli ila vingine ni uzushi tu, wanaume hawaeleweki sana unakuwa hivyo na bado unachapwa matukio,

Katika vitu sikuwa najiamini navyo huko nyuma ni midomo yangu, niliona aibu sababu ya unene wake japo watizamaji waliisifia nakumbuka shule wadada walikuwa wakinipaka lipstick na kulaza midomo yangu ktk barua za maboyfriend zao
Hebu tuma hiyo midomo hapa wahandisi wa haya majambo watupe elimu
 
Nikweli mimi ninamdomo mkubwa pia papuu nayo bwaku lkn hapa weng hawaelewi ukubwa , ukubwa nikwanje midomo ya nje muonekano mashavuu
N sahihi kabisa,kina hakihusiani na mdogo,,,mdomo unahusiana na mashavu
 
Back
Top Bottom