Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Wanavaa hadi suruali chini ya makalio, matako yote nje hadi unajiuliza huyu ni james delicious nnAlafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote
Kwa hiyo wanaume wote wa DSM wanavaa dizaini hiyo unayoisema? Tatizo mlilonalo ni kwamba mnapenda kufanya generalization kwa vitu ambavyo wanafanya watu wachache?Wanavaa hadi suruali chini ya makalio, matako yote nje hadi unajiuliza huyu ni james delicious nn
sio wote ndugu, mi pia born and live in dar ila hizo mambo cjawah kufanya, naskitikia tu ulimbukeni unaowakumba vijana wenzangu walamba midomo na kujipiga selfie za ki-cute cute...hv kuvaa smart km MAN ni ngumu sana hadi wajirembe km retardsKwa hiyo wanaume wote wa DSM wanavaa dizaini hiyo unayoisema? Tatizo mlilonalo ni kwamba mnapenda kufanya generalization kwa vitu ambavyo wanafanya watu wachache?
Sio wanaume wote dada ni wanaume wa darNgoja waje mkuu!!
Wanaume mkuje huku jamanii
HahahaSio wanaume wote dada ni wanaume wa dar
Mleta mada jamani si ndio amewataja jamaniHahaha
Sitaki ugomvi na kaka zangu jamaniii
Mkuu kila mtu na mapenzi na kile kilicho kwenye nafsi yake huwezi kufosi wanaume wote wawe kama unavyotaka wewe. Mimi unavyoniona scrub siijui,masaji ndo kabisa labda nifanyiwe na mke wangu nikishamuoa.Nina upara muda wote sifugi ndevu. Wengine wana viduku,milegezo ,masharobaro sasa utawazuiaje mkuu?sio wote ndugu, mi pia born and live in dar ila hizo mambo cjawah kufanya, naskitikia tu ulimbukeni unaowakumba vijana wenzangu walamba midomo na kujipiga selfie za ki-cute cute...hv kuvaa smart km MAN ni ngumu sana hadi wajirembe km retards
HahahaMleta mada jamani si ndio amewataja jamani
Being a man has no altenativeMkuu kila mtu na mapenzi na kile kilicho kwenye nafsi yake huwezi kufosi wanaume wote wawe kama unavyotaka wewe. Mimi unavyoniona scrub siijui,masaji ndo kabisa labda nifanyiwe na mke wangu nikishamuoa.Nina upara muda wote sifugi ndevu. Wengine wana viduku,milegezo ,masharobaro sasa utawazuiaje mkuu?
Sasa wenzako wana alternativeBeing a man has no altenative
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]watapewa mic wahutubie wazunguSasa wenzako wana alternative
Hapana mkuu naliliu huwa naisikia tyuHuvai naniliu ww?!
HeheheheHapana mkuu naliliu huwa naisikia tyu
Ndo Wale wanaume wanapenda walishwe na wadadaWanawake wameumbwa kuwa warembo, mwanaume ukiwa mrembo unakuwa unachembe ya hulka ya mwanamke, sisi ni wa kufanya kazi miaka yote sio kujilemba,
atiiiiiiii...?? kwahiyo ndio umeona ufungue I'd nyingine kisha uje kunisema huku "?Hawajikubali
hahaa kwa hiyo unafurahia mwenyew kuwa na sura kama magome ya mti "" ndio maana mkeo huwa analalamika kuwa akikushika usoni una mchubuwa kama umebandika usoni msasawa dar ndo wanaongoza mara nyingi nikitembelea huko nikijaribu kwenda saloon zao mpaka naonaga kichefu utasikia masag mara uso sijui kufanya nini pumbavu sipendagi ujinga huo[emoji23][emoji23]
huyo hana hela ..kawaida ya wanaume wa mikoani "" elfu 10 huwa ni budget ya week nzima...so anapokuja dar na kukuta kuwa wanaume wa huku hiyo elfu ni hela ya kula makange tu mchana basii ana changanyikiwa ..limoyo linatuna na kuwa kubwa kama pulizo kwaajili ya kujaza chuki tu. kwa wanaume wa hili jiji"""apambane na hali yake aiseeNgoja waje mkuu!!
Wanaume mkuje huku jamanii
acha unaaaa......hahaaa