Rais gani huyo alishindwa kujenga madarasa na kununua madawati,Sasa mkwara ndio kujenga? Mbona alikuwa anakataza watu wasipigie picha kuonesha msongamano kwenye wa Watoto?
Yule ni failure tuu hamna kitu.Kazi nzuri ya Samia hii hapa
Anajenza zaidi ya shule 184 Mpya Sekondari Kila Wilaya
Anajenga shule Mpya 26 zaKidato Cha 5 na 6
Anajenga zaidi ya shule 1000 Mpya za Msingi
Hapo sijazungumzia vyumba vya madarasa noo,hizo zote ni shule moyaaaa ,
Mwisho ule ujinga wa awamu ya 5 wa kuingiza Watoto shule Kwa mafungu kama ya nyanya umekoma awamu hii hakuna
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1690951775052763136?t=O1K9YmsqBM72qjG5ISsvsA&s=19View attachment 2720294View attachment 2720295View attachment 2720296