Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Naona wewe unaishi kwa mjomba kula kulala tu,nenda Tanesco wambie nataka kuunganishiwa umeme uone cost utakazoletewa alafu unaambiwa mita zakusubiri.
27,000 Vijijini na 320,000 Mjini..Una swali jingine? Tena saizi faster tuu via ni connect hata wiki haifiki umewaka
 
Unajiongelea tu hakuna bidhaa yenye inflation ya asilimia kadhaa inayopanda kila mwezi. Hayo mambo unayotoa kichwani kwako tu.

Biashara gani ina hesabu hizo kwanza, ebu elezea.

Kilichopo ni baadhi ya biashara inachofanya (more common in bank lending) wanaweka annual inflation adjustment on top of profit margin kwa sababu ya FV ya hela wasipate hasara. Ndio maana nikakueleza hiyo ni formula ya finance not economics.

Apparently you don’t know what you are talking about πŸ‘‹
 
Wapi Magufuli alikataza watu wasipige picha shule za Serikali?hapo ubungo msewe Itv walionyesha picha wanafunzi walikuwa wakikaa katika darasa lililo bomoka, Magufuli alitoa amri moja tu kuwa akifika dar akute mkurugezi, mkuu wa mkoa wote awapo mbona hayo madarasa yalijengwa usiku na mchana,
 
Unajitoa ufahamu si ndio? 🀣🀣🀣🀣

Uliwahi kusikia popote akikosolewa? Unayakumbuka mambo ya expansion joint? πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtu mwoga kama yule na dhaifu wa Kiungozi hawezi kuleta matokeo kama Samia.

Next Month brt phase 4 inaanza

Dmdp phase 2

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1686025336247435264?t=40NVKBzqldMfEIZH9eHpbA&s=19
 
Sector ya KODI na TOZO hujaiongelea! Bandiko lako ni batili
 
27,000 Vijijini na 320,000 Mjini..Una swali jingine? Tena saizi faster tuu via ni connect hata wiki haifiki umewaka
Vijijini wapi wakati wa Magufuli hapa tegeta bunju hadi B moyo tumewaka umeme kwa 27000/ wakati Magufuli alikuwa hatozi watu tozo,na hiyo 320000/wanakwambia bila nguzo utafikiri nguzo nimali yangu.
 
Huna hoja,kwani nyie mlikatazwa kuweka tozo Ili mlete maji Kwa watu?

Mbona mlikuwa mnatuuzia vitambulisho vya Machinga pesa mlikuwa mnapeleka wapi? Kununua Wapinzani? 😁😁
Sina hoja kivipi? Kwani nilichosema ni uongo?
 
Vijijini wapi wakati wa Magufuli hapa tegeta bunju hadi B moyo tumewaka umeme kwa 27000/ wakati Magufuli alikuwa hatozi watu tozo,na hiyo 320000/wanakwambia bila nguzo utafikiri nguzo nimali yangu.
Vijijini 27,000
Mjini 320,000

Pamoja na kwamba mliweka eti Kwa bei ndogo ila ni mwaka huu ndio Tanesco wameunganisha wateja zaidi ya 500,000 haijawahi tokea Sasa mtuambie huo umeme wenu wa bei chee alikuwa anasema nani?

Jibu ni inefficiency 😁😁😁😁
 
Tumbo likishiba bwana,mdomo huongea hata yasiyokuwepo.
Yeye anamalizia vilivyoachwa na mwendazake
 
Tumbo likishiba bwana,mdomo huongea hata yasiyokuwepo.
Yeye anamalizia vilivyoachwa na mwendazake
Mwendazake aliacha uharibifu wa Uchumi,Samia anatengeneza Upya.

Mwendazake aliacha mabenki yaakufa,mashirika ya pension yanakufa,mashirika ya nyumba unakufa,Ajira hakuna Kila mtu Machinga,miradi inasuasa hakuna pesa, Watoto wanakaa chini hakuna darasa Wala dawati m,TRA wanapora watu hela and a lot of them..

Kazi nzuri ya mama hii hapa πŸ‘‡
Someni taratibu nyie sukuma gang msije kupata kihoro, Bajeti kutoka ngapi Hadi ngapi? Na ni ndani ya miezi 30 tuu,Kuna watu walikaa miaka 6 πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1688254627152642048?t=-OKnapdpVzWqkE1P3PmjYQ&s=19
View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1692094310110363707?t=xHqtDBJz8gM-4u8thlnICw&s=19
 
Naona unatafuta Teuzi na sifa za kijinga
 
kama uchumi umepanda kopa kopa hii inatoka wapi?
Rudi shule wewe mbumbumbu,kukopa ni njia ya ku regulate uchumi yaani kiufupi Serikali lazima ikope Ili kusimamiwa uchumi.

Pili kukopa hakijawahi kuwa shida popote na Kila Nchi ya Dunia hii,jikite kwenye fani Yako.
 
Naona unatafuta Teuzi na sifa za kijinga
Huna hoja ona Sasa unavyoyumba 🀣🀣

Walaumu Tarura usiniletee povu,mjumbe hauwawi kikubwa endelea kuugulia tunawaelwza tuu kwamba Samia hana wa kumlinganisha sekta yeyote unayoijua wewe.
 
Hata wewe umenunuliwa.Huwezi kuwatoa watu kwenye reli.
Kwani hayo unayoyasema ndo kipaumbele Cha WATZ???Unajichocha TU,hebu hizo nguvu katafutie ugali tumbo lako
Huna hoja,kwani nyie mlikatazwa kuweka tozo Ili mlete maji Kwa watu?

Mbona mlikuwa mnatuuzia vitambulisho vya Machinga pesa mlikuwa mnapeleka wapi? Kununua Wapinzani? 😁😁

Huna hoja ona Sasa unavyoyumba 🀣🀣

Walaumu Tarura usiniletee povu,mjumbe hauwawi kikubwa endelea kuugulia tunawaelwza tuu kwamba Samia hana wa kumlinganisha sekta yeyote unayoijua wewe.
Hata ibilisi NI mjumbe wa shetani
 
Mimi nimeajiriwa DP world
 
Bei ya Umeme si Ile ile? Kilichoongezeka ni Hio buku kwa mwezi, na si Kweli kwamba wakati wa Magu maji yalitoka mda wote, Nchi hii toka Ipate Uhuru haijawahi kuwa na supply ya kutosha ya maji kwa Raisi yoyote yule.
KWA AKILI ZAKO BUKU SIO PESA NI MAMBUPU YAKO AU????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…