Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Ulilala saangapi baada ya kuandika hili gazeti? umesahau umeme unavyo kata kata kama viuno vya Angel Nyigu
 
Kazi inaendelea 👇

View: https://www.instagram.com/p/Cy8exCgtvAh/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
We Mangi acha fix. Kwanza, Hizo pesa nyingi kwenye mzunguko ziko mkoa gani?
 
Amekuza uchumi kuelekea wapi?
 
Kuna vilaza watakupinga bila ya kuwa taarifa za kitakwimu (statical Data)
 
Kuna vilaza watakupinga bila ya kuwa taarifa za kitakwimu (statical Data)
Wenye data walipinga wasio na data na kujenga kituo cha mwendokasi pale Ziwa Jangwani.

Wenye data walipinga wasio na data na wakaamua kufuta upinzani na badae wakagundua hawatapata msaada wa kuendesha serikali ikabidi watafute Covid-19.

Wenye Data waliamua kutumia data za mwaka 1968 kujenga stigla mwaka 2019 na kukata miti milioni 2 , alafu leo wanalia jua kali.
 
Mkuu nashukuru kwa ujumbe wenye uchambuzi mnono..umejihidi kwa kweli..
Kuna kitu umeruka,
Utawal huu unakopa too much...kuna mikopo tunapewa bila kuomba na tunachukua bila kujua tunapeleka wapi hizi hela..vijana wanahera za kutosha zisizo kua na source maalum..so Tz tunauchumi usio halisia..siku akija Magu mwingine vilio vitaanza tena oohh vyuma vimekaza..
Madhara yake nn?
Ili tulipe hayo madeni mtaanzisha vijitozo kibao..
Mfano soon kodi ya matumizi ya barabara..kama SA.
Nina mengi ila tutakwama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…